Wafuatiliaji wa mpira huwa wanapenda sana kufuatilia ligi kuu na kuona jinsi ambavyo timu yao inazidi kupanda juu kwenye viwango.
Kitu hiki hufanya wajue kwa hakika nini kinaendelea na nini kinaweza kufanyika ili timu yao iendelee kuwa kileleni.
Sasa na wewe kuna mchezo ambao unaweza kuufurahia. na mchezo huu ni mchezo wa kukuza utajiri wako. Ufurahie sana mchezo huo. Kila mara jiulize nini unaweza kufanya ili kukuza zaidi utajiri wako na nini hupaswi kufanya.
Kila la kheri.
Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza
Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA
Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA
Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA
Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391
Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391
Kujifunza namna ya kutengeneza fedha kupitia blogu tuwasiliane kwa 0755848391
Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391