Kitu Muhimu Unachopaswa kupigania Mara Zote


Rafiki yangu, nakusalimia.
Na leo nimeona nikukumbushe kuwa unapaswa kujenga utaratibu wa kuutafuta ukweli kwenye jambo husika.

Siyo tu uwe mtu wa kumezeshwa na kukubali kila kitu, wakati wengine wanasema hivyo vitu kwa hila ili wakuhadae.

Kwa hiyo basi mara zote nenda hatua ya ziada katika kuutafuta ukweli, maana pia imeandikwa kuwa ukweli utakuweka huru.

Kila la kheri.

Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391

Kujifunza namna ya kutengeneza fedha kupitia blogu tuwasiliane kwa 0755848391

Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X