Raha Kubwa Ya Kutatua CHANGAMOTO Ni Hii Hapa


 Kadiri unavyotatua CHANGAMOTO moja na kusonga mbele ndivyo unavyozidi kuwa imara zaidi na zaidi. 

Washindi wanalijua hili ndio maana wakikutana na CHANGAMOTO hawazikwepi badala yake wanatumia hizo hizo CHANGAMOTO kusonga mbele zaidi.

CHANGAMOTO, VIKWAZO au matatizo huwaimarisha baadhi ya watu, huku WENGINE vikiwabomoa.

Jifunze namna bora ya kukabiliana na kila CHANGAMOTO inayokuja kwako kupitia kitabu cha NYUMA YA USHINDI: Kuna Kushindwa, Kushindwa, Kushindwa.

Nakala laini (soft copy) ni 5,000/- tu.

Lipia sasa kupitia namba 0755848391 jina ni GODIUS RWEYONGEZA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X