Watu wengi wamekuwa wakiniuliza Hivi na mimi naweza kuandika kwenye magazeti? Napataje namba za wahariri?
Hili swali au mengine ya aina hii yamekuwa yakija kwangu mara mara.
Sasa kutokana na uzoefu wa takribani miaka mitatu wa kuandika magazetini nimeandika ripoti maalumu kueleza kiundani kuhusu uandishi wa magazetini.
1. Hatua muhimu za kufuata ili kupata nafasi za kuandika magazetini
2. JINSI Uandishi wa magazetini unavyoweza kukufanya maarufu huku ukiwa hauna senti mfukoni na nini Cha kufanya ili kuepuka hali hii.
3. Tofauti kubwa kati ya wasomaji wa magazetini na wale wa mtandaoni, wasomaji wa magazetini ni wagumu na vitu gani unaweza kufanya ili kuwanasa na kuwafanya wateja wako.
4. Vitu muhimu vya KUZINGATIA KABLA ya kutafuta nafasi za kuandika magazetini na vitu vya KUZINGATIA baada ya kuanza kuandika magazetini
5. Malipo ya magazeti na mengine mengi.
Ripoti hii nimeiweka kwenye mfumo wa ebook ili mtu yeyote anayehitaji kujua kuhusu hivyo vitu nilivyotaja hapo juu aweze kunufaika navyo.
Kuipata utalipia 1500 (buku jero) tu za kitanzania.
Tuma fedha kwa namba 0755848391 jina ni GODIUS RWEYONGEZA
Au kinunue kupitia hapa