Ujumbe muhimu kwa kijana anayetaka kufanikiwa (Vitu Vinne Vya Kuzingatia)


 

Siku ya Leo Nina ujumbe kwako kijana unayetaka kufanikiwa.

Moja, jua haswa nini unahitaji maishani.

Pili, chukua hatua sahihi kuelekea kile unachotaka. Haitoshi tu kujua unachotaka, bali pia unapaswa kuchukua hatua hata kama ni ndogo sana.  Ikumbukwe kuwa ukihitaji kuhamisha mlima, anza kwa kuondoa jiwe moja.

Tatu,  wasaidie watu kupata wanachotaka. Tayari umejua unachotaka, na umeanza, kuchukua hatua. Kitu kingine unapaswa kuwasaidia watu kupata kile wanachotaka.

Hili Zig Ziglar aliliweka vizuri aliposema, unaweza kupata unachotaka kama utawasaidia watu kiasi cha kutosha.
Wasaidie watu kutatua matatizo yao, wasaidie watu kupata mahitaji yao ya muhimu.
Wasaidie watu kuondokana na magonjwa n.k.

Pata kitabu cha SEKTA 11 ZA KUTENGENEZA MAMILIONI YA FEDHA TANZANIA hapa, kinakusaidia sana.

Nne, rudia hatua ya kwanza mpaka  ya tatu kila mara.

Nakutakia kila la kheri.

Nakutakia kila la kheri

 

Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391

Kujifunza namna ya kutengeneza fedha kupitia blogu tuwasiliane kwa 0755848391

Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X