Vitu Vitano Vinavyokuzuia Kufanikiwa


 

Hufanikiwi kwa sababu unavunja Sana sheria za mafanikio. Na kama utaendelea kuvunja hizi sheria ujue utaendelea kukwama. Sasa zifuatazo ni sheria tano unazovunja. Zifuate kwa manufaa yako.

Moja, Ni kile unachoingiza kichwani mwako. Ujue unachoingiza kichwani ndicho utatoa nje. Hivyo kuwa makini kuingiza kitu kizuri kichwani. Soma vitabu na kaa na watu chanya. Kumbuka, kikuingiacho ndicho kitakachotabiri matokeo yako. Kikulacho ki kinguoni mwako.

2.  Hutengi hata muda wa kufanyia kazi malengo na ndoto zako. Na bado unataka uzifikie. Hivi hii Ni kweli. .

3. Unafuatilia maisha ya watu WENGINE kuliko unavyofuatilia maisha yako. Maisha yako ndiyo yenye manufaa makubwa, yafuatilie maisha yako kuliko unavyofuatilia maisha ya mtu mwingine.

4. Unasubiri serikali ije kukusaidia. Ngoja nikwambie kitu, kama utaendelea na hiyo tabia, ujue wazi kuwa utajikwamisha sana. Kuwa mtu wa kubeba majukumu yako mwenyewe.

5. Unapenda kuonewa huruma hata unapofanya kazi. Kumbuka kufanya kazi Ni wajibu wako, hivyo chaoa kazi bila ya kutafuta huruma

Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391

Kujifunza namna ya kutengeneza fedha kupitia blogu tuwasiliane kwa 0755848391

Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X