Anza kutumia kitu hiki kwenye maisha yako kuanzia leo


 

Siku ya leo kuna kitu kimoja ambacho ningependa kukwambia ili uanze kukitumia kwenye maisha yako. Ukitumia kitu hiki ni wazi kuwa kinaenda kuwa chenye manufaa makubwa sana kwako.

Kitu hiki siyo kingine bali ni kuongea kile unachohitaji bila kuanza KUZUNGUKA.

Kitu hiki kidogo kitakufanya ufanikishe Mambo mengi kwa wakati

Kila la kheri 

Umekuwa nami,

GODIUS RWEYONGEZA

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

kila la kheri


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X