Picha au video ni muhimu sana katika matangazo. Unapokuwa unafanya matangazo yako unapaswa kutafuta namna ya kuvitumia hivi vitu viwili. Ndio maana unaona kila siku utakuta kampuni kubwa kama Cocao zinaweka matangazo ya picha njiani. Zinatumia kideo kwenye runinga na hata mtandaoni. Hawaweki maneno matupu. Wanafanya hivyo kwa sababu wanaijua na kuitumia nguvu ya picha.
Ebu na wewe Anza kuitumia nguvu hii maana picha moja inaongea maneno milioni.
Kila la kheri
Umekuwa nami,
GODIUS RWEYONGEZA
Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA
Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA
Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA
Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391
kila la kheri