Ijue maana nzuri ya MASIKINI


Kusikiliza Makala Hii BOFYA HAPA

https://youtu.be/ugM99RM5gfg

Watu huwa wanapenda kusema kuwa kila kitu kina faida na hasara zake, hata hivyo nimewahi kujiuliza faida za umasikini zikuzipata. Na hata nilipowauliza watu waniambie faida za umasikini hakuna aliyeniambia.

Soma zaidi: Nani Anaweza kuniambia faida ya umaskini?

Sasa siku ya leo ninataka nikwambie maana ya umasikini. Mtu MASIKINI kwa kiingereza anaitwa POOR. Na neno POOR kirefu chake ni Passing Over Opportunities Repeatedly. Ikiwa na maana kuwa masikini ni mtu ambaye anazipita fursa mara kwa mara.

Hachukui hatua wala kuchangamkia fursa zinazojitokeza kwenye jamii yake, hivyo anaendelea kuwa na maisha yaleyale maana siku zote ukitaka kupata matokeo ya tofauti sharti uwe tayari kufanya vitu vya tofauti, ikiwa ni pamoja na kuchangamkia fursa.

Sasa siku ya leo naomba kujua ni fursa ngapi unekuwa unaruka na kuruhusu zipite? Basi changamka na Anza kuzitumia fursa kuanzia sasa. La sivyo utaishia kuwa masikini (POOR)

Umekuwa nami,

GODIUS RWEYONGEZA

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

kila la kheri


One response to “Ijue maana nzuri ya MASIKINI”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X