Kama unaona kama fursa haziji kwako, Tengeneza mazingira ya kupata fursa. Maana fursa huwa hazikauki ni Kama mto mkubwa. Muda wote unatiririka tu. Na fursa hivyohivyo.
Kwa hiyo, kama wewe unaona fursa haziji kwako basi ebu jikwamue kwa kutengeneza mazingira ya kuzipata fursa zaidi.
Jiongezee ujuzi zaidi ya ule uliokuwa nao mwanzo.
Jitangaze zaidi.
Ongea na watu wengi kuliko ulivyokuwa unafanya hapo awali.
Soma vitabu.
Hudhuria semina
Nenda maeneo ambapo unafikiri unaweza kukutana na watu ambao watakuwa konekisheni ya muhimu kwako.
Umekuwa nami,
GODIUS RWEYONGEZA
Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA
Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA
Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA
Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391
kila la kheri