Kama hukupata kitabu cha MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, FANYA HIVI SASA HIVI?


 

Kwa miaka iliyopita nilikuwa nimezoea kuwaambia marafiki zangu mara kwa mara kwamba, unawezaje kuishi kwenye nchi yako bila kuwa na umiliki wa kipande kidogo cha ardhi? Nikawa nawaambia kwamba mtanzania yeyote ambaye hamiliki kipande chochote cha ardhi kisheria anakuwa ni mgeni kwenye nchi yake. Ni ujumbe ambaobaadhi wameufanyia kazi na wengine wameupuuza pia.

Sasa leo hii kupitia kitabu hiki hapa ningependa nikwambie na wewe pia kuwa unawezaje kuishi katika nchi ambapo hujaamua kumiliki makampuni makubwa wakati wageni wanakuja na kutengeneza mamilioni kwenye hisa, kwenye nchi yako mwenyewe? Tafakari chukua hatua, usije ukawa mgeni kwenye nchi yako mwenyewe.

 

Hii ni mojawapo ya nukuu kutoka kwenye kitabu cha MAAJABU YA KUWEKEZA KAWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE. Kama jana ulikosa fursa ya kupata kitabu hiki kwa bei vocha basi leo fanya hivi. tuma elfu nne (4,000/- kwenda 0755848391

 

Baada ya kutuma nitumie na ujumbe mfupi ili nikumie kitabu chako, nitakuongezea vitabu viwili vya ziada. Kitabu cha SEKTA 11 ZA KUTENGENEZA MAMILIONI YA FEDHA TANZANIA.

Changamka sasa

 


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X