Kitu Muhimu Ambacho Hupaswi Kukosa Kufanya


Kuna kitu muhimu ambacho hupaswi Kukosa Kufanya kila siku. Kitu hiki ni kujipa muda wa kuwa na wewe. Yaani, kuwa peke yako.

Ujue mara nyingi huwa tunatoa muda wetu kwa wengi ila sisi tunajisahau. Tunatoa muda kwa familia, kazi, biashara, mitandao n.k. ila unakuta kuwa sisi wenyewe tunajisahau.

Hivyo basi kuanzia leo usijisahau. Tenga muda wako wewe Kama were. Kwenye muda huu haufanyi kitu kingine isipokuwa kitu ambacho kinakufanya wewe kama wewe ukue kiroho, uimaishe afya yako au ungeze kipato.

Huu ni muda mahsusi kwa ajili yako na haupaswi kuingiliwa. Na ili uweze kupata muda huu, basi hakikisha kuwa unajenga utaratibu wa kuamka mapema asubuhi wakati wengine wakiwa wamelala. Pata walau saa moja la kwako ambapo itafanya Mambo ya kwako tu bila ya kuingiliwa na mtu mwingine.

Kila la kheri

Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391

Kujifunza namna ya kutengeneza fedha kupitia blogu tuwasiliane kwa 0755848391

Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X