Katika harakati za kukuza biashara na uchumi binafsi kuna kitu ambacho kinawakwamisha wafanyiashara na watu binafsi kufikia malengo yao. Kitu hiki ni kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja kwa matarajio ya kufanikiwa haraka.
Mambo mengi kwa wakati mmoja yanakupoteza. Ndio maana wahenga walishasema kuwa, miluzi mingi ilimpoteza mbwa. Kama unataka kufanikiwa basi chagua kitu kimoja tu na kifanye vizuri. Usitangetange. Kila la kheri.
Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza
Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA
Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA
Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA
Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391
Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391
Kujifunza namna ya kutengeneza fedha kupitia blogu tuwasiliane kwa 0755848391
Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391
One response to “Kitu Muhimu Kinachokwamisha Wafanyabiashara na watu binafsi katika kufikia malengo yao”
[…] Kitu Muhimu Kinachokwamisha Wafanyabiashara na watu binafsi katika kufikia malengo yao […]