Leo nimeona nishirikishe kuhusu uandishi na kwa nini nitaendelea kuandika bila kuchoka.
1 Uandishi Ni kitu ambacho ninafanya kutoka moyoni
2. Uandishi ni kitu ambacho kinanipa ushindi. Hata kama ikitokea jdani ya siku yangu nimeshindwa kufanikisha majukumu yangu ila nitakuwa na uhakika kuwa kwenye suala zima la uandishi nimefanikiwa kwa kuandika kitu fulani.
3. Uandishi unanifanya nifikirie nje ya boksi.
4. Uandishi unanifanya nione cha kuandika kwenye yale ambayo wengine wanaona hayafai.
5. Maandiko yangu ni msaada mkubwa kwa watu wengine
Umekuwa nami,
GODIUS RWEYONGEZA
Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA
Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA
Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA
Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391
kila la kheri