Njia bora ya wewe kukabiliana na tatizo la kughairisha


Rafiki yangu Kama umekuwa mtu wa kughairisha kazi zako, hii hapa nu njia ambayo unaweza kuitumia kwa manufaa. Njia hii ni
1. Kuamua kufanya hicho kitu kwa muda mfupi tu, labda dakika moja au mbili. Ukiweza kufanya hivi, utajikuta umeweza kufanikisha kazi yako, maana shida kubwa huwa ipo kwenye kuanza, ila ukishaanza dakika mbili zinaweza kukufanya ufanye kitu hicho kwa dakika tano, kumi, ishirini na hata saa moja.

Hii njia wanaweza kuitumia pia waandishi. Kama unaona huna kitu cha kuandika au unaona siku hupaswi kuandika. Anza tu kuandika hata sentensi mbili, utajikuta umeweza kusogea mbali sana.

Umekuwa nami,

GODIUS RWEYONGEZA

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

kila la kheri


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X