Watu wawili unaopaswa kujenga nao urafiki


 

Kuna watu wawili ambao ukijenga nao urafiki hawatakuangusha.

Moja ni VITABU
Jenga urafiki na vitabu. Ukiwa na shida ukiongea na kitabu (unaongea na kitabu kwa kukisoma) utapata wazo jipya la kukusaidia. Utaondoa msongo n.k.
Kama hauna wazo lolote le kufanyia kazi na kuboresha kazi, biashara au mahusiano, kitabu kina uwezo wa kukusaidia.
Kitabu ni rafiki ambaye hswezi kukukimbia bila kujali unapitia nini.

KAZI
kazi mi rafiki mwingine ambaye hatakaa akuangusye kamwe. Atakuwa na wewe muda wote, atakulida, atakuinua na atakukutanisha na wafalme

Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391

Kujifunza namna ya kutengeneza fedha kupitia blogu tuwasiliane kwa 0755848391

Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X