Miaka mingi iliyopita Napolleon Hill aliwahi kusema; kitu chochote ambacho akili yako inaweza kuamini na kushikilia kwa muda mrefu inaweza kukifikia.
Kumbe basi, kama unataka kufikia kitu chochote kikubwa
Moja, unapaswa kukijua hicho kitu.
Pili, unapaswa kuwa imani isiyoteteleka.
Tatu, unapaswa kukifanyia kazi huku ukiwa na imani yako.
Kama imani yako kuwa unaweza kufikia hicho kitu haitateteleka, basi jua kuwa hicho kitu lazima tu utakifikia.
Umekuwa nami,
GODIUS RWEYONGEZA
Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA
Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA
Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA
Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391
kila la kheri