Waafrika Tuutafute Ukweli Wetu; Wazungu Wamedanganya Vyakutosha Sasa


 

Waafrika tukiujua ukweli kuhusu sisi utatusaidia kufanya makubwa zaidi.

Kuna ukweli mwingi umefichwa.

Vitabu vya historia vyenyewe vimeandika historia feki.

Vyombo vya habari vikubwa, vinatoa habari zisizokuwa za kweli. Vinatoa habari kwa maslahi ya wamiliki wa vyombo hivyo.

Kitu kinachotufanya tuendelee kuamini uongo kama ukweli. 

Najisikia kusema kitu kuhusu Afrika na uongo mwingi uliosemwa/unaosemwa kuhusu Afrika. Na nitakuwa nikusema Mara kwa mara kupitia blogu hi hapa.

Rise Afrika.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X