Moja ya shida ya watu ambao huwa wanashindwa kutumia fursa ni kujuta mbeleni.
Ndio baadaye unakuja kusikia mtu anasema kuwa;
๐ Mtu fulani tulisoma wote.
๐Mtu fulani tulianza kazi kwa pamoja.
๐Maeneo fulani viwanja vilikuwa vinauzwa kwa bei ndogo ila sasa havishikiki.
Ne mengine mengi
Hiki ni kiashiria kimojawapo kuwa mhusika hakutumia fursa zilizojitokeza maishani mwake vizuri. Usipozitumia fursa vizuri, ni ukweli kuwa haziwezi kukubeba.
Pata kitabu cha MAISHA NI FURSA: ZITUMIE ZIKUBEBE leo kwa elfu sita (6,000/-) tu leo.
Nakala hii imesheheni mambo mengi mazuri kuhusu fursa.
๐kimeeleza maana ya fursa: kwenye kitabu utakutana na zaidi ya maana kumi za fursa.
๐ utajua jinsi ya kuziona fursa.
๐ Utajua kwa nini watu hawazioni fursa hata japo mimi ninasema fursa zipo za kutosha
๐ Tutajibu swali la kwa nini maisha ni magumu japo fursa zipo nyingi.
๐ Tutaona maeneo zilipojificha fursa
๐Tutaona fursa zilizohama kutoka kizazi kimoja kwenda kingine. Hizi ni fursa ambazo zilikuwepo miaka mingi sana iliyopita na bado zipo sasa hivi; yaani alizitumia babu yako mpaka wewe kitukuu
๐ Tutaona jinsi ya kuhamisha fursa kutoka eneo moja kwenda jingine
๐ Jinsi ya kugundua fursa mpya
๐ Vigezo vya kuitambua fursa ya kweli na mengineyo mengi.
Hakikisha unapata nakala yako leo kwa elfu sita (6,000/-) tu.
Lipia kwa:
MPESA 0755848391
Airtel money: 0684 408 755
Kote jina ni GODIUS RWEYONGEZA.
NB. Kitabu hiki ni soft copy.
Ni mimi
GODIUS RWEYONGEZA
+255755848391
MOROGORO-TZ