Bila kujali upo katika hali gani, Kuna wakati unapaswa kufanya UAMUZI kwamba sasa mimi nitaanzia hapa na nitaendelea mbele
Kataa kabisa kuendelea kusema kwamba sina mtaji
Kataa kuendelea kulalamikia ugumu wa maisha.
Chagua kuanzia hapo ulipo, miaka 10 ijayo utajishukuru kwa uamuzi huu.
Amua Sasa kupata vitabu vitano kwa elfu kumi tu. Hii ofa mwisho wake ni Leo hii
Vitabu vyenyewe ni
1. MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE.
2. MAISHA NI FURSA ZITUMIE ZIKUBEBE
3. SEKTA 11 ZA KUTENGENEZA MAMILIONI YA FEDHA TANZANIA
4. KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI
5. Cha tano utachagua mwenyewe kutoka kwenye orodha ya vitabu vyangu hapa
https://www.getvalue.co/home/seller_collection/393
Utalipia kwa Airtel money namba 0684 408 755
Changamka sasa. Hii ni ofa ya Leo tu