Jana nilitangaza rasmi kuwa kutakuwa na kozi ya uandishi kwa mwaka huu 2022 ambayo inaenda kuanza tarehe 16 machi, kozi hii itakafanyika kwa njia ya mtandao.
Kutangazwa kwa kozi hiyo ni kiashiria kuwa unapaswa kuwahi nafasi yako mapema. Hii kozi hii ya uandishi. Ni kozi ya kipekee sana ambayo huwezi kupata sehemu yoyote mtandaoni.
Nasema hivyo kwa sababu moja kuu. Wewe umekuwa unajifunza Mambo mengi kuhusu uandishi, ila cha kushangaza bado tu umekuwa unakwama na huandiki. Na Mimi ninachokukuhakikishia ni kuwa utaendelea kujifunza Mambo mengi kadiri ila kama hutajiunga na kozi hii hutakaa uandike.
Kozi hii ni ya waandishi, siyo wale wanaojiita waandishi, ila waandishi wanaoandika, hicho ndiyo kitu Kikubwa tunachopambana nacho kwenye hii kozi.
Mpaka kozi inafikia mwishoni utakuwa tayari umeshaandika, siyo mara moja, siyo mara mbili, ila utakuwa umeandika kiasi cha kuweza kumaliza kitabu chako.
Hiki ni kitu siyo tu ambacho nakwambia kwa nadharia, ila ni kitu ambacho watu wengine wamekifanyia kazi kwa mafanikio makubwa.
Sasa kama kuna watu wametumia mbinu hizi ninazofundisha kuandika na kukamilisha vitabu vyao, unadhani wewe utashindwa? Kozi imeandaliwa katika mfumo wa kukufanya uandike na ukamilishe lengo lako ndani ya muda wa kozi. Ukijiunga na kozi tutawasiliana na kuweka mpango. Utaweza kuandika hata kama hujawahi kuandika.
Hivyo kwa mara ya kwanza baada ya kuhudhuria kozi hii utakuwa mwandishi. Yale masuala ya kujiita mwandishi mtandaoni wakati hata hujawahi kuandika kwishney.
Kozi hii ina mwongozo uliokamilika na ina kila kitu unachohitaji kujua kuhusu uandishi.
Mbali na hilo kwenye kozi hii:
👉UTAANDIKA kitabu chako na kitakamilika ndani ya siku 30.
👉Nitakusimamia na kusoma kazi zako unazoandika kila siku na kukusaidia kuziboresha.
👉Nitakufungulia blogu ya bure.
👉Utajifunza mengi kutokana na yale wanayoandika wenzako na maoni nitakayokuwa natoa kuhusu kazi za wenzako.
👉Utapata kitabu Cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU NDANI YA SIKU 30 bure.
👉Utapata jarida lenye hatua 15 za kufuata ili kuandika magazetini.
👉Utapata mafunzo ya audio zaidi ya 10. Yakiwemo mahojiano na waandishi wakubwa hapa nchini.
👉Utaungana na waandishi wengine wanaoandika na kujifunza mengi kutoka kwao.
Nafasi kwenye kozi hii ni 10 tu. Hivyo, kama unataka kuhudhuria kozi hii, sharti uwahi kujihakikishia nafasi yako kabla hazijaisha.
Na gharama za kuhudhuria darasa hili la kipekee itakuwa ni laki mbili (200,000/) tu. Jihakikishie nafasi yako Sasa hivi kwa kuwasiliana na 0755848391 kabla nafasi hazijaisha.
NAKUKUMBUSHA TU: kozi hii ni ya siku 30 tu, na huna kitu chochote cha kupoteza. Endapo utajiunga na kozi hii ila katikati mwa kozi au mwishoni ukaona kuwa haifai, utanipigia simu nami nitakurejeshea fedha yako bila kukuuliza maswali yoyote.
Hivyo, jisajili sasa hivi kwa kuwasiliana na 0755848391.
PATA KITABU CHA BURE
Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli
Godius Rweyongeza
+255755848391/ Morogoro-Tanzania
G
One response to “KWA NINI UNAPASWA KUHUDHURIA DARASA RASMI YA UANDISHI 2022”
0784848084