Day: September 19, 2024

  • Nukuu 14 Za Kufikirisha

    1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. 12. 13. 14.

  • Namna Rahisi Ya Kujifunza Ujuzi Utakaokulipa

    Ni ujuzi gani ambao unalipa zaidi na ninawezaje kujifunza ujuzi huu. hapo zamani za kale kama ulitaka kujifunza ujuzi kama huu, ulitakuwa kuhakikisha kwamba unakutana na wabobezi na kujifunza kutoka kwao kwa kufanya. Kitu hiki kiliitwa uanagenzi. Leo hii mfumo wa uanagenzi ni kama umepotea na kuja katika mfumo wa tofauti kabisa. Ambapo leo hii…

  • Naomba kuanzia leo hii uanze kumfuatilia mtu huyu, hutajutia…

    Naomba kuanzia leo hii uanze kumfuatila mtu huyu, hutajutia… Moja ya kitu ambacho watu wengi wanakosea ni kufuatilia maisha ya watu wengine kuliko wanavyojifuatilia maisha yao binafsi. Ninachotaka ufanyie kazi rafiki yangu kuanzia leo ni kuanza kujifuatilia maisha yako mwenyewe. Inawezekana moja ya kitu kinachokufanya wewe ufuatilie maisha ya watu wengine ni kwa sababu haujijui.…

X