Haya hapa ni mambo 101 unayoweza kuandika kwenye kitabu chako


Rafiki yangu mpendwa salaam. Hongera sana kwa siku hii nyingine ya leo. Leo ninataka nikwambie mambo 101 unayoweza kuandika kwenye kitabu chako.

Ni ukweli usiopingika kwamba watu wengi wangependa kuandika vitabu vyao kwa wakati na kwa haraka. Hata hivyo wengi hawajuia hata wapi pa kuanzia. Kwenye somo la leo tunaenda kuona mambo 101 unayoweza kuandika kwenye kitabu chako. Ni mambo yapi hayo, fuatilia hili somo hapa


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X