kuomba msamaha ni bora
Rafiki yangu ukikosea usiogope kuomba msamaha. Sisi kama binadamu huwa tunakosea, na ukigundua umekosea unajirudi, unakaa chini, unaweka mkakati mpya kisha unasongambele.
Usije ukatumia kipengele cha kuomba msamaha kama sehemu ya kufanya makosa yanayojirudia. Simamia mambo ya msingi, simamia haki. Ikitokea umekosea. jisahihishe na Songambele.