Author: Latifa Omary

  • Muda Ni Maisha

    Nakumbuka kipindi Nipo shule, ( High level) kuna mwalimu nilikuwa namchukia sana kwa sababu alikuwa makini na MUDA, Asubuhi MUDA wa Mchaka Mchaka ilikuwa ni lazima ukimbie, na muda wa darasani ni lazima uwepo na asikuone nje unazurura, Hali hii ilimpelekea achukiwe na wanafunzi wengi ikiwemo mimi, lakini mwisho wa yote alikuwa ametusaidia pakubwa sana…

X