Tag: Wazo

  • Njia 7 Za Kutumia Ili Kupata Wazo Bora La Biashara

    Wazo bora la biashara halishuki kutoka mbinguni~ Godius Rweyongeza Moja ya kitu ambacho kimekuwa kinawakwamisha watu wengi na kuwafanya washindwe kuanzisha biashara ni wazo la biashara. Watu wamekuwa wanashindwa kupata wazo la biashara, sasa kwenye kipengele hiki ninaenda kukuonesha ni kwa jinsi gani  ambavyo unaweza kupata wazo bora la biashara.

X