-
Jinsi ya kuchagua Watu Sahihi na Vitabu Sahihi Kwa Maendeleo Yako Ya Miaka Mitano Ijayo
Katika makala ya jana rafiki yangu. Niliandika Siri ya Mabadiliko ya Kweli. Miaka Mitano Ijayo Utakuwa Jinsi Ulivyo Isipokuwa Kwa Vitu Hivi Viwili. Baada ya kuelewa kuwa watu unaokutana nao na vitabu unavyosoma vina mchango mkubwa katika kukufanya mtu tofauti baada ya miaka mitano, swali linalofuata ni: unawachaguaje watu sahihi? Na unachaguaje vitabu vitakavyokujenga kweli?…
-
Siri ya Mabadiliko ya Kweli. Miaka Mitano Ijayo Utakuwa Jinsi Ulivyo Isipokuwa Kwa Vitu Hivi Viwili
Katika safari ya maisha, watu wengi hutamani kubadilika, kuboresha maisha yao, na kufikia mafanikio makubwa. Lakini wengi hukata tamaa baada ya miaka kupita bila kuona tofauti kubwa. Swali ni: kwa nini baadhi hubadilika na kupiga hatua, huku wengine wakibaki vilevile? Msemaji na mwandishi maarufu, Charlie “Tremendous” Jones, alitoa kauli yenye nguvu sana: “Miaka mitano kuanzia…
-
Kama haliwezekani kwao, haimaanishi kwamba haliwezekani kwako
Rafiki yangu jambo ambalo watu wengine wanafikiri kwamba haliwezekani kwako siyo kwamba haliwezekani bali linawezeakana. Inawezekana jambo hilo haliwezekani kwao, lakini siyo kwamba haliwezekani kwako. Hivyo, basi zamu ijayo ukisikia mtu anakwambia kwamba jambo hilo haliwezekani, basi jua kwamba linawezekana vizuri tu. Leo nimekuandallia ebook nzuri sana kuhusu hili suala la kuwezekana. Naomba uisome hapa.
-
Mchakato ni bora zaidi kulliko malengo
Kwenye mojawapo ya kitabu cha Robert Kiyosaki, ameandika kwamba watu wengi huwa wanapambana kuweka malengo ila huwa wanasahau kitu kimoja muhimu sana. na kitu hiki siyo kingine bali ni mchakato wa kufanyia kazi malengo na ndoto ambazo mtu unakuwa nazo. Kumbe moja ya changamoto ambayo inawakumba watu wengi wanaoweka malengo siyo tu kuweka malengo, bali…
-
Fanya kitu hiki kila siku ili uweze kuishi ndani ya siku yako kwa ushindi mkubwa sana
Kabla ya kuianza siku yako, hakikisha umeipangilia vizuri. Hakikisha unajua kila kitu unachoend akufanya ndani ya siku husika kwa usahihi. HILI LITAKUSAIDIA SANA KUONDOA MWANYA WA WEWE KUFANYA MAMBO AMBAYO SIYO SAHIHI Kumbuka kwamba unapoipoteza siku moja, unakuwa siyo tu unaipoteza hiyo. unakuwa unapoteza maisha yako. Sasa utapoteza maisha yako mara ngapi? kumbuka muda unaopita…
-
Barua za warren Buffet
Moja kati ya wawekezaji wakubwa sana tulionao kwenye nyakati zetu ni Warren Buffet. Huwa anaandika babrua kila mwaka kwa wawekezaji waliowekeza kwenye kampuni yake ya Berishire Hathaway.Ninaenda kuwa nasoma barua zake zote mmoja baada ya nyingine, kila siku. Nitakuwa nakushurikisha hapa ninachojifunza ili na wewe uweze kujifunza na kufanyia kazi kile unachojifunza. Endelea kufuatilia mafunzo…
-
Jinsi Bei ya Kuchapisha Kitabu Inavyopangwa: Mambo Muhimu ya Kuzingatia
Moja ya swali ambao watu wengi huwa wanauliza ni kuwa je, kitabu changu kitagharimu kiasi gani kutoa nakala moja? Jibu la hili swali haliwezi kuwa sawa kwa watu wote. Hii ni kutokana na sababu kadhaa ambazo ndizo huwa zinatoa mwongozo kwenye uchapishaji wa vitabu. Sababu hizi ni pamoja na: 1. Ukubwa wa kitabu. Kitrabu chenye…
-
Mfungo
Sizungumzii mwezi wa Ramadhan, wala Kwarezima. Nazungumzia mfungo. Kwamba kuna kitu ulikuwa unafanya, ila kinakutoka kwenye mstari wa kufanyia kazi malengo na ndoto zako kubwa. Sasa unaamua kwamba nafuga na ninaacha kukifanya kwa wiki moja. Kwa mfano ulikuw aunatumia muda mwingi facebook, au youtube au tiktok, unaamua sasa kwa wiki moja ijayo naondoa hii tiktok…
-
Twende kidijitali mwaka 2025
Rafiki yangu, najua umekuwa unatumia mtandao wa intanenti kwa muda. Lakini kitu ambacho sina uhakika nacho ni kama umekuwa ukiutumia mtandao huu kwa manufaa. Sasa, 2025 twende kidijitali rafiki yangu. Unajua kwa nini nakwambia hivi, kadiri siku zinavyokwenda, mambo yanazidi kufanyika kidijitali zaidi. Mfano, siku hizi unaweza kuwa nyumbani asubuhi mpaka jioni na mambo yote…
-
Kufufuka
Kheri ya pasaka rafiki yangu. Kwa wakristo pasaka, ni kufufuka. Hata kama wewe siyo mkristo, bado hapa kuna kitu cha kujifunza. Na kitu hiki siyo kingine bali ni kufufuka. Nataka na wewe ufufuke. Kwenye maisha ya kila siku tunaanguka. Tunakumbana na vikwazo vingi ambavyo vinatuzuia kusongambele na kufanya makubwa. Tunaanzisha biashara zinakufa. Muda mwingine mahusiano…
-
Pale unapokuwa huoni matokeo
Ni rahisi kuacha kufanya pale unapokuwa huoni matokeo ya haraka. Ila ukweli ni kuwa kamwe usiache kufanya kwa sababu tu huoni matokeo ya haraka, badala yake endelea kukaza. Kukomaa kwa muda mrefu kutakuweka kwenye hali ya kupata matokeo mazuri kuliko vile unavyofanya kwa muda mfupi na kuacha. Mfano, ukiwekeza mara moja na kuacha, au ukiweka…
-
Nguvu ya Kuweka Malengo-1
Unapokuwa na malengo unapambana kwa vyovyote vile kuhakikisha unayafanikisha malengo Yako ndani ya muda husika. Ila ukiwa huna malengochochote kinachotokea mbele yako ni lengo. Hivyo basi jitahidi kuhakikisha kuwa na malengo, weka malengo yafanyie kazi. kumbuka usipokuwa na malengo, chochote kitakachotokea mbele yako kitakuwa ni lengo.
-
NGUVU YAKO KUBWA IWEKE HAPA
Rafiki yangu, nguvu yako kubwa iweke kwenye kile unachofanya. Badala ya kuiweka nguvu kubwa kwenye vitu ambavyo hupendi. Inawezekana kuna vitu hupendi kwenye siasa, kwenye michezo na mabo mengine. Ila ukwlei ni kuwa nguvu yako kubwa inapaswa kuwekwa kwenye vitu ambavyo unapenda. Kama ni biashara, hapo ndipo unapaswa kuwekeza nguvu zako. Kama ni kazi, iwekeze…
-
Namna ya kupangilia ratiba ya wiki hii kiporofessional
Namna ya kupangilia ratiba ya wiki hii kiporofessional Rafiki yangu mpendwa, salaam Miongoni mwa ujuzi muhimu sana ambao unahitaji ili kufanikisha malengo Yako ya mwaka 2025 ni ujuzi wa kuipangilia wiki yako. Wiki ni ndogo sana ila usipoipangilia vizuri inapotea na ukipoteza wiki nyingi mfululizo, mwisho wa siku unakuwa umeupoteza mwaka wako. Maana mwaka una…
-
Jinsi Ya Kuandaa Kizazi Cha Wafanyabiashara
Juzi nilikuwa nasoma ujumbe wa mkurugenzi mkuu wa TELEGRAM.Alizungumzia namna kampuni za kichina zinavyofanya vizuri na namna ambavyo zitafanya vizuri kwa siku zijazo kutokana na mfumo mzuri wa elimu walionao. Kitu hiki kimenitafakatisha sana na Leo nikaona nikuandalie ujumbe muhimu wa namna Leo hii tunavyoweza kuanza kuandaa kizazi kijacho Cha wajasiriamali, kizazi ambacho kinaweza kwenda…
-
Njia Bora Ya Kufanya MAKUBWA Ni Hii by Godius Rweyongeza
Pengine umekuwa unajiuliza ni kwa namna gani naweza kufanya makubwa kwenye maisha yangu? Ukweli ni kuwa haya makubwa unayotamani kuyafanya kwenye maisha yako, hayawezi kuja tu yenyewe bila ya wewe kufanya kazi. Njia bora ya wewe kufanya makubwa ni kwa wewe kuhakikisha kwamba unatoka hapo ulipo na kwenda kufanya kazi. Kwenye ulimwengu wa leo sambamba…
-
ukijua kitu kifanyie kazi
Utasikia mtu anakwambia kwamba hiki nakijua, nilijifunza chuo. Hiki nakijua… Kama unakijua kwa nini hukifanyii kazi? Rafiki yangu kitu kikubwa ninachotaka kukwambia siku ya leo ni kwamba kujua pekee hakutoshi. Unapaswa kujua vitu na kuvifanyia kazi pia. Hiyo ndiyo inaenda kuwa tiketi yako wewe kukfanya makubwa. Haitoshi tu kwa wewe kujua kuweka akiba, bila ya…
-
Nguvu ya kushambulia
Kwenye timu ya mpira wa miguu huwa kuna wachezaji wa aina mbalimbali ila mojawapo ya wachezaji huwa ni washambuliaji. Hawa kazi yao huwa ni kuhakikisha muda wote wanasumbua kwenye lango la mpinzani ili mwisho wa siku waweze kuipatia timu yao ushindi. Endapo washambuliaji hawatafanya kazi yao ya kushambulia na badala yake wakaanza kujilinda dhidi ya…
-
Shukrani
Moja ya kitu muhimu sana ambacho unapaswa kukifanyia kazi ni kuwa mtu wa shukrani. Kila siku inayokuja kwako ni nafasi nyingine ya wewe kushukuru. Una mengi ya kushukuru kwenye maisha yako. Wengi huwa wanasubiri mpaka waone mambo makubwa ili waweze kushukuru. Ila ukweli ni kuwa kwa mambo yanayoendelea kwenye maisha yako, una mengi ambayo leo…
-
Watu
Ili ufanikiwe unahitaji watu, tena watu sahihi. Hivyo basi rafiki yangu, pambana kuzungukwa na watu sahihi. Ukikaaa na watu ambao siyo sahihi watakuangusha. Unajua kwa nini watakuangusha, watakuangusha kwa sababu fikra zao ni za kuanguka wala siyo za kuinuka. Inabidi ukae na watu wenye fikra za kuinuka, ili uinuke. Swali langu kwkao siku ya leo…