Kumbe Unajidanganya?


Habari ya siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. ‘imani yangu kwamba umekuwa na siku njema sana leo. Hii nikutokana na ukweli kwamnba umefanya kile ambacho unapaswa kukifanya kwa wakati ambapo unapaswa kukifanya na kuhakikisha kwamba umeweza kutimiza majukumu yako. Karibu sana katika makala haya ya siku hii ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho hatujawahi kujifunza maishani mwetu.

SOMA ZAID; Liwezekanalo Leo Lisingoje Kesho

Kitu hiki ambacho tunaenda kujifunza sikul hii ya leo oni kwa kuanfgaliaa ni kwa jinsi gani watu whuwa wanajidanya kila siku. Kila siku wewe hapo unajidanganya kwa sababu tu kuna vitu ambavyo haufanyi. Siku hii ya leo tu kuna vitu ambavyo umejidnganya. Kama utaendelea na tabia hii kwa muda mrefu sana maishani mwakwo basi jua kwambautaendelea kupoteza muda wako na mwisho wa siku kuna vitu ambavyo uotakuja kujutia kwa sababu tu hukuwahi kuvifanya maishani mwako.  Vitu hivi ambav yo unajidanganya kila siku ni kujiambia kwamba UTAFANYA KESHO. Kila mara unapokutana na  hali mpya unajimbia kwamba utafanya kesho. Leo hii kuna vitu ambavyo umehairisha kwa sababu tu unajimabia autafanya siku ya kesho. Rafiki yangu kama utaendela na tabia yako hii kwa muda mrefu sana jua kwamb kuna vitu ambavyo utavikosa kwa siku za mbeleni ambazo zinakuja mbeleni. Hii ndio kusema kwamba siku zijazo utaanza kujutia mambo ambayo ungeyafanya sasa, yaani leo hii.
Image result for POSTPONING
USHAURI  WANGU ni kwamba usihairishe kitu. Leo ni leo asemaye kesho ni mwongo. Hii ndio kusema kwamba  kama utaweza kuyafanya yale ambayo unapaswa kuyafanya leo hii. Basi kesho yenyewe itakaa vyema sana kwa sababu tu kila kitu ambacho ulipaswa kukifanya siku hii ya leo umekifanya.
SOMA ZAIDI; Jambo Moja Ambalo Unapaswa Kuliepuka

JAMBO LA KUFANYA SIKU HII YA LEO;  angalia ni vitu gani ambavyo kwa siku sasa umekuwa ukihairisha. Viandike chini sasa. Angalia ni kitu gani ambacho unaweza kuanza nacho kwa siku hii ya leo kukifanyia kazi. Usiahairishe tena. Je, umekuwa na mpango wa kuaandika kitabu? Je, umekuwa na mpango wa kulima? Umesubiri nini sasa? Chukua hatua  sasa na uanze kwa kufanya kidogo siku hii ya leo. Hii ndio kusema kwamba kama utatenga dakika 30 kila siku kufanya kitu hicho itafikia hatua ambapo utakuwa unafurahia matunda makubwa sana ya kitu ambacho unakifanya siku hii ya leo. Naomba nikutakie siku njema sana rafiki na ndugu msomaji wa makala  haya kutoka blogu yako ya SONGA MBELE


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X