Category: HAMASA

 • Njia ya uhakika ya kupata bahati maishani mwako

  Rafiki yangu unajiuliza ni kwa namna gani unaweza kupata bahati maishani mwako. Siku ya leo nina njia moja ya ukweli na ya uhakika ya kukufanya wewe uweze kupata bahati maishani mwako. Na njia hii ni wewe kufanya kazi kwa bidii. Kuna mtu mmoja aliwahi kusema kwamba kadiri ninavyokuwa nafanya kazi kwa bidii ndivyo ambavyo ninakuwa…

 • Haya Ni Maajabu Yaliyojificha Kwenye Kutoa

    Rafiki yangu kuna nguvu kubwa sana katika kutoa. Hii ni tabia ambayo unapaswa kujifunza na kuifanyia kazi kila siku. Nadhani utakuwa umewahi kusikia kuwa matajiri wana hadi mashirika ambayo yanahusika na utoaji. Kwa mfano, Bill Gates ana shirika la GATES AND MELINDA FOUNDATION. Elon Musk ana shirika la MUSK FOUNDATION na mabilionea wengine pia…

 • Maana Ya Mafanikio Unaitoa Wewe Mwenyewe. Na Hivi Hapa Ndivyo Unavyoitoa

  Kufanikiwa  kwako kupo mikononi mwako. Na maana halisi ya mafanikio yako unaitoa wewe mwenyewe. Kwa hiyo ukitaka kupata matokeo bora unapaswa kutoa maana bora ya mafanikio na jinsi ambavyo utayapata.   Ili unielewe vizuri hapa naomba nitolee mfano wa mtu ambaye kwake kufanikiwa ni mpaka pale unapokuwa na elimu ya chuo. Kwake bila ya elimu…

 • Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani

  Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani Habari ya siku hii ya kipekee sana rafiki yangu. Hongera sana kwa sikku hii ya kipekee. Leo hii nina habari njema sana kwako wewe mkazi wa Iringa na mikoa mingine ambayo imezunguka hapo karibu. habari hii ni kwamba vitabu vya KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI…

 • Hiki Ni Kitu Kimoja Ambacho Ninakijua Kuhusu Wewe

  Rafiki kuna kitu kimoja nakijua kuhusu wewe hapo. unaweza kujiuiliza kuwa ni mtu gani huyu alikwambia siri zangu. naomba tu, utulie kwanza nikwambie kitu hiki.   Kitu hiki ni kuwa wewe walau una kitu ambacho unaweza kutoa kwa watu ili kuwafanya watu wengine wawe na maisha bora zaidi. Inawezekana kitu hiki sio kikubwa lakini unacho.…

 • Maneneo Sita (06) Ambapo Kila Kijana Mwenye Miaka 20-29 Anapaswa Kuwekeza

  Habari ya siku hii ya kipekee rafiki yangu, karibu sana kwenye makala hii ya siku ya leo. Ambapo tunaenda kujifunza maeneo sita kwa kjjana yeyote mwenye miaka kati 20-29 anapaswa kuwekeza.   Labda unaweza kujiuliza kwa nini leo niongelee kuhusu miaka 20-29. Jibu lake ni kwamba, hiki ni kipindi ambapo vijana wengi wanakuwa na ndoto…

 • Socrates Alikuwa Na Haya Ya Kutufundisha Kuhusu Mafanikio

  Hii ni maalumu tu kwa ajili ya yule ambaye anahitaji mafanikio makubwa kama ambavyo anahitaji hewa   Siku moja kijana mmoja almfuata Socrates akimwomba amfundishe siri ya mafanikio. Socrates hakuwa mchoyo, hivyo alichofanya alimpangia miadi siku iliyofuata. Kweli bwana, kijana alitokea kama ambavyo alikuwa amepangiwa. Socrates alimwambia kijana yule kwamba nifuate. Kijana alimfuata Socrates nyuma.…

 • Mafunzo Saba (07) Muhimu Kutoka Kwa Wajasiliamali Saba Waliofanikiwa Kibiashara Kwenye Karne Ya 19

  Siku ya leo ninaenda kukuletea masomo saba muhimu kutoka kwa wajasiliamali na wagunduzi bora a karne ya 19. Kutoka kwa watu hawa utaweza kujifunza mengi ambayo unaweza kuchukua hatua. Ujue ipo hivi rafiki yangu. Kwenye maisha unaweza kuamua kujifunza kutoka kwa watu waliofanikiwa au unaweza kuamua kujifunza ambao hawajafanikiwa. ubora wa kujifunza kwa watu waliofanikiwa…

 • Siri Muhimu Ya Mauzo Kutoka Kwa Tony Robins

  Naandika makala hii ikiwa ni usiku saa 2 kasoro dakika tatu sasa ya tarehe 21//2/2020. sijajua wewe makala hii unaisoma muda gani na siku gani. Nimeamua niandike makala hii baada ya kuwa nimetoka kufanya mauzo sehemu. Hivyo wakati narudi njiani ndio nikakumbuka kauli mojawapo ya Tony Robins. Hivyo nikaona wazi kwamba kuna somo kubwa sana…

 • Kitu Hiki Ulichojifunza Kwenye Hadithi Na Tamthilia, Hakikisha Unakitumia Maishani Mwako

  Kama wewe ni mpenzi wa hadithi na tamthilia basi utakuwa unafahamu kwamba kwenye hadithi hizi huwa kuna mtu mmoja ambaye ndiye mhusika mkuu kwenye hadithi/tamthilia husika. Mtu huyu huwa anapata misukosuko. Pengine huwa anapigwa kiasi cha kufa. Unakuta pengine anatekwa ila mtu huyu huwa anaendelea kupambana. Huwa hachoki wala huwa haachi kusimamia vitu fulani. Mbali…

 • Vitu Sita (06) Ambavyo Utapaswa Kuvifanya Maishani Mwako

  Hongera sana rafiki kwa siku hii njema sana. Leo hii siku ya kipekee sana naomba uitumie vizuri sana. Katika tungo yake ya Kioo; Jaguar ambaye ni mwanamziki  amewahi kunukuliwa akiimba hivi “maisha ni kama safari/ na ya kwangu ishanoa nanga. Kuna siku mbili muhimu ya kuzaliwa na ya kuzama. Yangu ya kuzaliwa nishaijua bado ya…

 • Ukitembea Na Kauli Hii Ndani Ya 2019, Basi Jua Kwamba Unajiandaa Kupotea

  Hakuna haraka barani Afrika. Huu ni usemi ambao umezoeleka sana katika nchi za bara la Afrika, na haswa Tanzania. Watu huwa wanaukumbatia usemi huu kama vile ni amri. Na falsafa hii kweli ina wafuasi wengi sana. Ila napenda kukwambia kwamba ukiishi kwa kauli mbiu hii ndani ya 2019 basi unajiandaa kupotea. Sikudanyanyi ila ukweli ndio…

 • Hivi Mbwembwe Za Mwaka Mpya Maana Yake Nini?

  Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya leo.  Ikiwa ni tarehe 03 ya mwaka mpya 2019.Leo kwa pamoja napenda tutafakari swali libalosema, hivi mbwembwe za mwaka mpya maana yake nini?  Siku ya mwisho ya mwaka watu huwa wanakaa kusubiri mwaka mpya. Wapo ambao huwa wanaenda kwenye mikusanyiko mbalimbali kama kanisani au viwanja maalumu. Wengine…

 • Ifanye Dunia Ijue Kwamba Kuna Mtu Huyu Ndani Ya 2019

  Ni siku ya pili sasa ndani ya mwaka mpya 2019. Leo hii napenda nikutaarifu kwamba mwaka huu unapaswa kuufanya wa mafanikio makubwa sana. Na ili mwaka huu ugeuke Wa mafanikio basi wewe jukumu lako ni kufanya dunia ijue kwamba wewe upo unaishi. Ebu sasa hivi andika chini sentensi ifuatayo. Mimi…..(weka jina lako) Ndani ya 2019…

 • Vitu Viwili Vitakavyotokea Endapo Utakaa Usipopaswa Kuwa

  Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi ya siku hii ya leo na ya kipekee sana. Kitabu hiki kupo kwa ajili yako kwa sh.10,000 tu! Karibu 0755848391 Jana wakati naendelea na shughuli zangu, ilipita helikopita moja iliyokuwa inapiga  kelele sana. Mdogo wangu aliyekuwa mbali kidogo na mimi  aliniita kwa sauti. Nikisikia akisema, “iangalie vizuri hiyo halikopita…

 • Hii Ni Njia Rahisi Ya Kuhairisha Kitu Ulichopanga Kufanya

  Naam, leo ni siku nyingine ambapo tunaenda kufanya mambo mengine,Makubwa kwa makuvwa zaidi pengine,Ili tuendelee kutengeneza kesho bora nyingineItakayopendeza sana zaidi ya leo. Hongera sana rafiki kwa siku hii bora. Kuna mtu kila siku utamkuta anasema, kesho nitafanya hiki.Ukikutana naye baada ya siku na kumuuliza, vipi tayari umeshafanya shughuli yako, utasikia anasema, yaani nilikwama kidogo…

 • Ukisikia Fulani Ni Kiongozi, Basi Jua Anafanya Hivi

  Hongera sana rafiki kwa siku hii njema sana ya leo.Leo ni jumamosi ya tarehe 06 oktoba 2018.Ni siku ya kipekee sana ambayo unapaswa kuitumia kuhakikisha unaweza kufikia ndoto zako. Kwa sasa hivi nafundisha sana masomo ya uongozi, na makala zangu nyingi zijazo mbali na kwamba nitaongelea vitu vingine lakini suala la uongozi nitaliongelea kwa undani…

 • Vitu Viwili Vitakavyokupa Nguvu Kwenye Zama Hizi

  Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi ya siku hii njema ya leo. Leo hii ni siku ya kipekee sana. Moja kati ya vitu vinavyofurahisha sana, ni pale unapokamilisha kazi ambayo ulikuwa unaifanya kwa siku nyingi sana kiasi kwamba ukawa unajisikia mtupu kwa ndani. Yaani unaona umekamilisha kazi ile na haudaiwi kitu chochote. Umetoa kila kitu…

 • TOO BUSY TO WATCH YOUR DREAM; Hatua Sita (06)Za Kukutana Na Watu Maarufu, Wafanyabishara Wakubwa Na Wanamziki Nguri Bila Kutumia Nguvu

  Kwa kawaida huwa sipendi kutumia kiingereza katika maandishi yangu labda pale ambapo huwa ninakazia kitu fulani hapo ndipo huwa nalazimika kutumia kiingereza ili uweze kuelewa zaidi. Makala ya siku hii ya leo imebeba kichwa chenye lugha ya kiingereza. Na kwa sababu kuna kitu kikubwa sana nakazia basi itabaki hivyo hivyo. Samahani sana kama utakuwa hujaelewa…

 • Hili Ni Jambo Linalowafanya Watu Washindwe Maishani

  Moja kati ya swali ambalo nimekuwa najiuliza ni swali la je, ni kweli watu hawajui kile wanachofanya au wanajua kiasi kwamba wanapuuzia? Je, ni kweli kwamba masikini hawajui mbinu za kutafuta pesa au wanazipuuzia?Je, ni kweli watu wanaoumwa hawajui kanuni za afya au wanazipuuzia? Unadhani jibu ni lipi? Jibu ni rahisi sana WATU WANAJUA KARBIA…

X