Muda Mzuri Wa Kuanza Jambo Lolote


UFAHAMU MUDA MZURI WA KUANZA JAMBO LOLOTE MAISHANI
Watu wengi sana huwa wanauliza ni muda gani wanaweza kuanza. Wengine huwa wanasubirisha kuanza biashara, wakati wengine wakiwa wanazikosa fursa na kwa sababu tu ya kusubuiri, kiukweli siku hii ya leo nina habari njema sana kwako rafiki yangu juu ya muda mzuri sana ambao wewe unaweza kuanza kitu. Na muda huu sio mwingine bali  ni pale unapokuwa hujawa tayari. Kwa hiyo pale unapokuwa unajiona kama vile hujawa tayari kuanza kitu ambacho unataka kufanya basi huo ndio muda wako wewe hapo kuhakikisha kwamba unaanza. Ukisubiri uwe umekamilisha kila kitu jua kwamba hutakuja kuwa  tayari hata siku moja. Hivyo nakushauri rafiki yangu uanze pale unapokuwa hujawa tayari.

soma zaidi; unafunga sehemu gani?


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X