A NOTE FROM SONGAMBELE; MITANDAO YA KIJAMII


mitandao ya kijamii haupo kwa ajili ya wewe kuwaambia watu kwamba leo ulipata wakati mbaya wakati  unasafiri kufika nyumbani.
Wala haipo kwa ajili ya wewe kuwapa taarifa kwamba leo umekula nini? Au kifungua kinywa chako kilikuwaje?

Mitandao hii IPO kukuunganisha na watu kibiashara ili mfanye biashara na kukuinua kukutoa hapo ulipo kwenda hatua ya ziada.

Je, wewe unaitumiaje?
Tafakari, chukua hatua

This is a note from songambele

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA

KUPATA KITABU CHA TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA BONYEZA HAPA

HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X