Leo hii jioni nikiwa nimetulia nimepokea ujumbe kutoka kwa mmoja wa wasomaji wa kitabu bora sana cha NYUMA YA USHINDI. Haya hapa yalikuwa maneno aliyosema, “Rafiki Yangu Nashukuru Sana Maana Nilikuwa Nshaanza Kupotea, ‘Kitabu Cha Nyma Ya Ushindi Kimenifunua Akili’
Huyu ni mmoja kati ya mamia ya watu waliofaidika na kitabu hiki. Rafiki huyu alijipatia nakala ya kitabu takribani wiki moja iliyopita wakati nipo Bukoba mjini. Sasa ameona ni kwa jinsi gani ndani ya muda kidogo kitabu hiki kimefanya maajabu.
Dibaji ya kitabu cha NYUMA ya USHINDI na DEOGRATIAS STANSLAUS KESSY |
Sasa naomba niongee machache kuhusu kitabu hiki
1. Kitabu cha NYUMA ya USHINDI ni kitabu changu cha tatu kwenye mfululizo wa vitabu vyangu nilivyoandika.
Cha kwanza kikiwa ni KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI
cha pili ni TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA (must read)
na cha tatu ni NYUMA YA USHINDI.
Soma Zaidi: TAFAKARI YA WIKI; Kipaji Ni Bei Rahisi Kuliko Chumvi
2. Kitabu cha NYUMA YA USHINDI ni kitabu pekee ninachofahamu mpaka sasa ambacho kimeeleza kuwa ushindi sio lelemama. Bali nyuma ya ushindi kuna kushindwa, kushindwa kushindwa.
3. Kitabu cha NYUMA YA USHINDI kina mifano iliyo hai ya watu waliopitia vikwazo mbali mbali ila mwisho wa siku wakaweza kutoboa. Yaani wakaweza kufanya makubwa sana.
4. Kitabu cha NYUMA YA USHINDI ni kitabu pekee ambacho kinapatikana kwa bei rahisi sana kulinganisha na kile kilicho ndani yake. Yaani maarifa yake ni mara kumi zaidi ya pesa unayolipa. Ukilipa pesa ya kitabu utatamani kulipa mara pili baada ya kukisoma mara ya kwanza.
KUTOKA SIFURI MPAKA UBILIONEA (Mbinu Kumi (10) Zitakazokuinua Mpaka Ubilionea)
5. Kitabu cha NYUMA ya USHINDI ni kitabu changu pekee mpaka sasa hivi kinachopatikana kwa njia ya soft copy na HARD COPY.
Gharama ya soft copy ni 3,000/-
Wakati hard copy ni 5000/- kwa sasa.
6. Kitabu cha NYUMA YA USHINDI kinaweza kutumwa kwako popote ulipo (kama unahitaji hard copy) na soft copy inatumwa kwa email.
7. Kupata kitabu hiki basi utatuma pesa kwa mpesa kwenda nambari 0755848391 jina GODIUS RWEYONGEZA.
Baada ya hapo utanipa taarifa. Utapokea kitabu hiki muda mfupi baada ya wewe kununua kitabu hiki.
9. Kitabu hiki kipo kwa ajili yako. Ndio wewe hapo
10. Karibu sana rafiki iliujipatie kitabu hiki hapa.
Naitwa Godius Rweyongeza
Mwandishi wa kitabu cha NYUMA YA USHINDI
0755848394
Karibu sana