Category: VITABU

  • Vitu viwili ambavyo hakuna MTU anapaswa kukuzidi

    Rafiki yangu, SIKU ya leo ningependa kukwambia vitu viwili ambavyo hakuna MTU anapaswa kukuzidi kwenye kuvifanya. Vitu hivi ni 1. Kufanya kazi kwa bidiiAcha watu wakuzidi kwenye mambo mengine yote ila wasikuzidi kwenye kufanya kazi kwa bidii. Kufanya kazi kwa bidii kupo ndani ya uwezo wako. Kwa hiyo kuanzia leo, acha watu wakuzidi kwenye vitu…

  • KITABU: MAAJABU YA KUSOMA VITABU

    Kupata kitabu hiki hapa BONYEZA HAPA   Mwezi wa tisa mwaka 2019 nilitoa kitabu MAAJABU YA VITABU bure kwa watu wote ili waweze kusoma na kujifunza maajabu yaliyofichwa kwenye kusoma vitabu. Mwanzoni sikutegemea kama kitabu hiki kingesomwa na watu wengi sana. Ila kilichotokea toleo la kwanza la kitabu hiki hapa lilisomwa na maelfu kwa maelfu ya…

  • Vitabu Nane (08) Nilivyosoma Mwezi Wa Saba

    Hiki ni kitabu cha TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA Kuanzia mwezi huu nimeanzisha utaratibu mpya ambao utakuwa unaniwezesha mimi kukushirikisha vitabu ambavyo nimesoma ndani ya mwezi uliotangulia. Kutoka kwenye orodha hiyo, nitakuwa nakuelekeza kitabu kimoja utapaswa kusoma Hivyo leo hii ninaenda kukushirikisha vitabu NANE ambavyo nilisoma mwezi uliopita. Kila kitabu nitapata nafasi ya kukiongelea kidogo, na…

  • Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani

    Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani Habari ya siku hii ya kipekee sana rafiki yangu. Hongera sana kwa sikku hii ya kipekee. Leo hii nina habari njema sana kwako wewe mkazi wa Iringa na mikoa mingine ambayo imezunguka hapo karibu. habari hii ni kwamba vitabu vya KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI…

  • Maneneo Sita (06) Ambapo Kila Kijana Mwenye Miaka 20-29 Anapaswa Kuwekeza

    Habari ya siku hii ya kipekee rafiki yangu, karibu sana kwenye makala hii ya siku ya leo. Ambapo tunaenda kujifunza maeneo sita kwa kjjana yeyote mwenye miaka kati 20-29 anapaswa kuwekeza.   Labda unaweza kujiuliza kwa nini leo niongelee kuhusu miaka 20-29. Jibu lake ni kwamba, hiki ni kipindi ambapo vijana wengi wanakuwa na ndoto…

  • Leo Ndio Siku Ya Mwisho Ya Zawadi Ya Kitabu Cha Bure Cha Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni Kuisha

    Rafiki yangu, bila shaka siku ya leo ni siku bora sana kwako.  Siku si nyingi sana nilitoa zawadi ya nakala ya bure kabisa ya  kitabu cha kutoka sifuri mpaka kileleni. Uliipata zawadi hii? Kama hukuipata, basi soma makala hii HAPA na uchukue hatua leo maana yamebaki masaa machache. Na leo ndio siku ya mwisho kabisa…

  • Dibaji ya kutoka sifuri mpaka kileleni Kama Ilivyoandikwa Na Albert Nyaluke Sanga

      Habari ya siku ya leo rafiki yangu. Siku ya leo nimeona nikusogee walau kurasa chache kutoka kwenye kitabu cha kutoka sifuri mpaka kileleni ili uweze kuzisoma. Na kwa leo nimekuletea kwako Dibaji ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI  ambayo imeandikwa na Albert Nyaluke Sanga. Kama hujawahi kusoma kitu chochote kile kwenye kitabu hiki,…

  • Hii Ni Zawadi Ya Kipekee Ambayo Naitoa Kwako Rafiki Yangu

    Habari ys siku hii njema ya leo rafiki yangu. Siku hii ya leo ni siku ya kipekee sana kwangu, imani yangu kwamba na ni ya kipekee na kwako kabisa! Sasa tunapouanza mwaka huu, nimekuandalia zawadi ya kipekee sana rafiki. Zawadi hii sio nyingine Bali zawadi ya vitabu. Na vitabu hivi ni 1. KUTOKA SIFURI MPAKA…

  • Vitabu Hivi Vitakusaidia Kugundua Kipaji Chako Na Kukiendeleza

    Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi ya siku hii njema sana ya leo. Ikiwa ni tarehe 06 ya mwezi wa wa januari mwaka 2019. Siku zinazidi kusongambele. Na kama bado hujaanza kutimiza malengo yako basi kuna sehemu unakosea sana. Rafiki yangu mwaka 2019 Unapaswa kuambatana na wewe kutumia kipaji chako kwa viwango vya juu, kama…

  • UCHAMBUZI WA KITABU CHA WEALTH OF NATIONS-2

    Ukurasa wa 27-37 Utajiri Wa Mataifa “Katika miaka ya zamani, tunakuta kwamba vitu vilipewa thamani kulingana na idadi ya ng’ombe, mfano silaha ya kujikinga wakati wa vita (armour) iliyokuwa inatoka maeneo ya Diomede, ilikuwa sawa na ng’ombe tisa. Wakati silaha hiyo hiyo kutoka maeneo ya Glaucus ilikuwa ni sawa na ng’ombe mia. Chumvi ilikuwa ni…

  • UCHAMBUZI WA KITABU: THE WEALTH OF NATIONS Utajiri Wa Mataifa

    Ukurasa 17-27 Habari ya siku hii njema rafiki yangu.  Kuna nyakati huwa zinakufanya unakuwa na maswali mengi sana na pengine hupati kabisa majibu ya maswali haya.Mimi ni miongoni mwa watu wenye maswali mengi sana ambayo huwa najiuliza ila kadri ninavyosoma vitabu ninapata majibu na kunufaika na majibu hayo.Mfano baada ya kukua na kuona jinsi watu…

  • NYUMA YA USHINDI

    Leo hii jioni nikiwa nimetulia nimepokea ujumbe kutoka kwa mmoja wa wasomaji wa kitabu bora sana cha NYUMA YA USHINDI. Haya hapa yalikuwa maneno aliyosema, “Rafiki Yangu Nashukuru Sana Maana Nilikuwa Nshaanza Kupotea, ‘Kitabu Cha Nyma Ya Ushindi Kimenifunua Akili’ Huyu ni mmoja kati ya mamia ya watu waliofaidika na kitabu hiki. Rafiki huyu alijipatia…

  • FaidaOja (01) Ya Kujifunza Ambayo Hujawahi Kuambiwa Popote

    Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii nyingine tena.Moja ya mambo ambayo unapaswa kuyafanya ukiwa hapa duniani, basi ni kuhakikisha unajifunza kila siku. Jambo hili nimeliongelea sana, naliongelea sasa hivi na nitazidi kuliongelea. Na nimekuwa nakushirikisha faida za kujifunza mara kwa mara ambazo utazipata kutokana na kujifunza kitu kipya. Leo hii naomba uijue faida hii…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kusoma Kitabu Kwa Wiki Moja (Mbinu Nne Za Uhakika)

    Habari ya siku hii njema sana ya Leo rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo na ya kipekee sana kuwahi kutokea katika dunia hii. Siku hii ya leo naomba tuangalie ni kwa jinsi gani unaweza kusoma kitabu kwa wiki moja. Moja kati ya changamoto ambayo watu kwa sasa wanayo ni kutosoma. Kila Mara…

  • MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM; Kwa Nini Kusoma Vitabu

    Katika zama za sasa hivi tulizopo kuna vitu ni rahisi sana kuvipuuzia na kuna vitu inakuwa ni vigumu kuvipuuzia.Kuna vitu vinavutia kuvifanya na kuna vitu havivutii kufanya. Mfano kuchati na kufuatilia habari nyepesi nyepesi kwenye mitandao ya kijamiii kunavutia sana kuliko kukaa chini na kusoma kitabu. Ndio maana watu walio wengi wanatumia muda mwingi sana…

  • Hii Ni Hazina Kubwa Kuwahi Kutokea Katika Dunia Hii

                HII NDIO HAZINA KUBWA SANA KUWAHI KUTOKA KATIKA DUNIA HII Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala haya murua kabisa kutoka katika blogu yako ya SONGA MBELE. Imani yangu kwamba leo umekuwa na siku njema sana na unaenda kufanya makubwa sana siku hii ya leo. Ni jambo jema sana…

  • Mwanafunzi Ni Zaidi Ya Mwalimu Wake …

    Waswahili wana usemi ambao wanasema kwamba mwanafunzi hawezi si zaidi ya mwalimu wake. Ila katika hali ya kawaida kitu ambacho si, kinaweza pia kuwa ni…. Hivyo mwanafunzi anaweza kuwa ni zaidi ya mwalimu wake. Isipokuwa ni kwamba mwanafunzi akishakuwa ni zaidi ya,, asimsahau yule aliyemwezesha kuweza kufika hapo alipofika. Naye ni mwalimu. Kama mwanafunzi hapaswi…

  • Hili Ni Jambo Linalonifanya Nimshukuru Mungu Kila Siku

    Kushukuru ni kuomba tena. Walinena wazee wa zamani. Kila kunapokucha kuna kitu ambacho kinanifanya Mimi Godius Rweyongeza niendelee kumshukuru Mungu.Yapo mengi sana ya kumshukuru Mungu na miongoni mwa hayo namshukuru Mungu kwa kutujalia watanzania waandish. Maandishi ni kumbukumbu zinazodumu kww muda mrefu sana. Hakika kumbukumbu hizi ni njema na zinatia moyo. Zinavutia na ni hazina…

  • Je, Umesoma Nini Leo?

    Habari ya siku hii ya leo Rafiki yangu, imani yangu leo umekuwa na siku njema sana, na unaendelea vizuri sana. Karibu sana tuendelee kujifunza. Maana hakuna kuhitimu katika kujifunza. Na hapa duniani hakuna aliyehitimu kozi ya kujifunza. Yaani kwamba kahitimu kukutana na watu wapya, kahitimu kuongea, kahitimu kula, kahitimu kufanya kazi kutaja ila machache. Kiufupi…

  • Sheria Muhimu Katika Kutengeneza Pesa Na Kuwa Tajiri

    Watu wengi wamekuwa na ndoto kubwa sana ya kuwa matajiri.Lakini hawajapata kujua jambo muhimu katika kutengeneza pesa na hivyo kufikia ndoto yao ya kuwa tajiri. Jambo muhimu unalohitaji kulifahamu katika kutengeneza pesa ni kufahamu tofauti kati ya RASLIMALI (asset) na DHIMA (liability). Swali Rasilimali ni nini? Rasilimali ni kitu kinachoingiza pesa kwenye mfuko wako Swali…

X