Hii Ni Zawadi Ya Kipekee Ambayo Naitoa Kwako Rafiki Yangu


Habari ys siku hii njema ya leo rafiki yangu. Siku hii ya leo ni siku ya kipekee sana kwangu, imani yangu kwamba na ni ya kipekee na kwako kabisa!

Sasa tunapouanza mwaka huu, nimekuandalia zawadi ya kipekee sana rafiki. Zawadi hii sio nyingine Bali zawadi ya vitabu. Na vitabu hivi ni

1. KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI tsh.8,500/- badala ya elfu kumi.

2. TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA tsh8,500 badala ya elfu kumi.

3. NYUMA YA USHINDI  3,000 (soft) na 5,000 hard copy. Badala ya elfu tano kwa soft.

4. MAMBO 55 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA BIASHARA 3,000/- badala ya elfu tano.

5. JINSI YA KUIBUA UBUNIFU ULIO NDANI YAKO 5,000/- badala ya elfu saba.

Hii ni zawadi yangu ya kufungua mwaka kwako. Zawadi hii napenda ikufikie popote pale ulipo nchini, tafadhali sana ipokee zawadi hii kwa kufanya malipo ili uweze kuipokea zawadi hii. Fanya malipo kupitia nambari 0755848391 jina Godius Rweyongeza baada ya hapo, nitumie ujumbe mfupi wa kuniambia kwamba umefanya malipo. Pamoja na jina LA kitabu ulicholipia. Nitakutumia kitabu bila kuchelewa. Asante sana,
Tukutane kwenye jukwaa la wanamafanikio.

Soma Zaidi; TAFAKARI YA WIKI; Unatumia Mabadiliko Ya Mitandao Ya Kijamii Na Intaneti Au Yanakutumia?

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X