Vitabu Hivi Vitakusaidia Kugundua Kipaji Chako Na Kukiendeleza


Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi ya siku hii njema sana ya leo. Ikiwa ni tarehe 06 ya mwezi wa wa januari mwaka 2019. Siku zinazidi kusongambele. Na kama bado hujaanza kutimiza malengo yako basi kuna sehemu unakosea sana.

Rafiki yangu mwaka 2019 Unapaswa kuambatana na wewe kutumia kipaji chako kwa viwango vya juu, kama hujawahi kutumia kipaji chako, basi mwaka huu ndio mwaka wako.

Sasa najua utakuwa unajiuliza hivi ninawezaje kugundua kipaji changu? Leo hii jukumu langu ni kukupa wewe mwelekeo wa wa vitabu muhimu sana unavyopaswa kuvisoma ili uweze kugundua kipaji chako, lakini pia uweze kukiendeleza. Katika maisha navifahamu vitabu viwili vitakavyoweza kukusaidia katika hili.

Kitabu cha kwanza ni KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Hiki ni Kitabu bora sana kinachozungumzia hatua kwa hatua jinsi kugundua kipaji chako.
Kurasa za Kitabu hiki hazijaacha kitu chochote haswa linapokuja suala la kugundua kipaji kilichondani yako.

Soma zaidi KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI

Kitabu cha pili ni JINSI YA KUIBUA UBUNIFU ULIO NDANI YAKO
kurasa za Kitabu hiki zimeeleza kwa undani kuanzia unapogundua kipaji chako na kukiendeleza MPAKA kuwa MTU mkubwa.

Sasa kwa nini ujikwamishe? Sasa kwa nini usisome kitabu hivi? Sasa umefika wakati wako wewe kusoma vitabu na kufanyia kazi maarifa yaliyo kwenye kurasa za vitabu hivi.

Kwa mwezi huu wa Januari nimekuandalia zawadi wewe rafiki yangu. Na zawadi hii sio nyingine, bali kupata vitabu hivi kwa bei ya punguzo. Punguzo  iko hivi.

Kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI utakipata kwa sh. 8,500 badala ya ya 10,000/-

Na Kitabu cha JINSI YA KUIBUA UBUNIFU ULIO NDANI YAKO utakipata kwa sh 5,000/- badala ya 7,000/-

Rafiki yangu, nenda kayafanyie kazi haya , mwisho wa siku watu watakuona wewe ukivuka ng’ambo.

Asante sana,
Tukutane kwenye jukwaa la wanamafanikio.

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X