Kitu kimoja ambacho hawajui watu kwenye biashara wanazofanya ni kuwa na wao ni wateja wa biashara zao. Kitu hiki kinawafanya watu hawa kutoa bidhaa kwenye biashara bila mpangilio maalumu kwa sababu tu wao ni wamiliki wa biashara hizo.
Rafiki yangu, hili ni kosa kubwa ambalo hupaswi kufanya. Kuna wakati wewe unapaswa kuwa mteja kwenye biashara yako. Hivyo na wewe utanunua kama wanavyonunua wengine na utalipa kama wanavyolipa wengine
Ila usitoe bidhaa kwenye biashara yako bila kulipa.
Rafiki yangu, bila shaka lolote lile ni kwamba somo la leo umeweza kuliewa vizuri sana.
Asante sana na nichukuke wakati huu kukutakia kila la kheri
SOMA ZAIDI: KAMA HUWEZI KUWA KICHAA WA NDOTO YAKO, BASI SAHAU KUHUSU KUIFIKIA
Ni mimi anayejali mafanikio yako,
GODIUS RWEYONGEZA
KUWA MIONGONI MWA WATU AMBAO WANAPOKEA MAKALA MAALUMU KWA WATU MAALUMU KWA KUBONYEZA HAPA