Category: UJASILIAMALI

 • Vitu Vitano Ambavyo Bosi/ Mwajiri Wako Hawezi Kukwambia

  siku ya leo nimeona nikueleze vitu vitano ambavyo bosi wako hawezi kukwambia. na vitu hivi hakuna mtu mwingine atakuja kukwambia isipokuwa mimi tu ndio nimeona inafaa nikwambie vitu hivi. sasa ni juu yako kuvifanyia kazi ili utengeneze maisha ya tofauti au la uendelee kama ulivyokuwa unafanya siku zote. 1.Bosi wako hawezi kukwambia fedha iliyoanzisha biashara…

 • Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani

  Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani Habari ya siku hii ya kipekee sana rafiki yangu. Hongera sana kwa sikku hii ya kipekee. Leo hii nina habari njema sana kwako wewe mkazi wa Iringa na mikoa mingine ambayo imezunguka hapo karibu. habari hii ni kwamba vitabu vya KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI…

 • Maneneo Sita (06) Ambapo Kila Kijana Mwenye Miaka 20-29 Anapaswa Kuwekeza

  Habari ya siku hii ya kipekee rafiki yangu, karibu sana kwenye makala hii ya siku ya leo. Ambapo tunaenda kujifunza maeneo sita kwa kjjana yeyote mwenye miaka kati 20-29 anapaswa kuwekeza.   Labda unaweza kujiuliza kwa nini leo niongelee kuhusu miaka 20-29. Jibu lake ni kwamba, hiki ni kipindi ambapo vijana wengi wanakuwa na ndoto…

 • Mafunzo Saba (07) Muhimu Kutoka Kwa Wajasiliamali Saba Waliofanikiwa Kibiashara Kwenye Karne Ya 19

  Siku ya leo ninaenda kukuletea masomo saba muhimu kutoka kwa wajasiliamali na wagunduzi bora a karne ya 19. Kutoka kwa watu hawa utaweza kujifunza mengi ambayo unaweza kuchukua hatua. Ujue ipo hivi rafiki yangu. Kwenye maisha unaweza kuamua kujifunza kutoka kwa watu waliofanikiwa au unaweza kuamua kujifunza ambao hawajafanikiwa. ubora wa kujifunza kwa watu waliofanikiwa…

 • Kitu kimoja Ambacho Watu Hawajui Kuhusu Biashara Zao

  Kitu kimoja ambacho hawajui watu kwenye biashara wanazofanya ni kuwa na wao ni wateja wa biashara zao.  Kitu hiki kinawafanya watu hawa kutoa bidhaa kwenye biashara bila mpangilio maalumu kwa sababu tu wao ni wamiliki wa biashara hizo.  Rafiki yangu, hili ni kosa kubwa ambalo hupaswi kufanya. Kuna wakati wewe unapaswa kuwa mteja kwenye biashara…

 • Ushauri Muhimu Kwa Mtu Anayeanza Biashara Kutoka Jack Ma

  Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Bila shaka umeianza siku yako vyema kabisa. siku ya leo nakuja kwako na ushauri muhimu kwako wewe ambaye unapenda kuanzisha biashara. Ushauri huunimeona niulete kutoka moja kwa moja kwa Bilionea wa China, Jack Ma. Nimemleta kwako Bilionea huyu kwa sababu kanuni kuu za mafanikio ni…

 • Vitu Viwili Vya Kushangaza Kuhusu Warren Buffet. Angekuwa Tanzania Watu Wangesema Ametoa Kafara Au Basi Watu Wangesingizia Majini

  Katika bara la Afrika kuna tabia moja ya kipekee sana. Tabia hii imejengwa kwenye msingi kwamba, anayemiliki kitu cha bei ghali basi yeye ndiye, anachukuliwa kama tajiri. Kwa mfano, kama wewe unamiliki nyumba ya bei ghali sana basi wewe ndiye mtu tajiri sana kuliko wote. Hiyo ndio imani ya waafrika walio wengi. Kwa hiyo imani…

 • Tabia Saba (07) Zinazoleta Umasikini Na Jinsi Ya Kuziepuka Ili Kutengeneza Utajiri

  Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana. Leo ikiwa ni februari 29 2020. siku zinazidi kusogea kwelikweli. Mwezi wa pili wa mwaka uliokuwa mpya, sasa unaelekea ukingoni. Siku chache zijazo tu utashangaa mwezi wa tatu huo umefika. Nina hakika moja ya lengo lako kubwa maishani ni kutokomeza umasikini na kujenga utajiri…

 • Mfanyie Kitu Hiki Mtu Huyu Hata Kama Humpendi

  Kutokana na ukweli kwamba ajira zimekuwa hazipatikani kwa urahisi, basi watu wamekuwa wanajitoa ili kuingia kwenye ujasiliamali na kuanzisha biashara. Jambo hili ni jema sana, hata hivyo kuna watu wanaingia kwenye biashara bila wao kujua nini haswa kimewapeleka kwenye biashara hizo. Hivyo watu hujikuta wakiwahudumia wateja kwa mazoea sana, lakini pia hujikuta wakianzisha biashara ambazo…

 • Unapaswa Kuwa Na Uwezo Wa kutenganisha Kitu Hiki Na Biashara Yako

  Rafiki yangu, hongera sana kwa nafasi nyingine ya kuishi. Leo hii ni siku ya kipekee sana.Swali la kwanza unalopaswa kujiuliza siku ya leo?Nimepewa uhai tena ili nifanye nini? Swali la pili je, nitafanya nini leo kitakachoongeza thamani kwa watu, ndani ya siku ya leo? Kumbuka kwamba kila siku ni siku yako wewe kukua na kuhakikisha…

 • Jambo Moja Litakaloikuza Biashara Yako Bila Kikomo

  Hivi ni kitu gani kinawafanya baadhi ya watu kuweza kujingarisha na kukuza biashara zao bila kikomo, wakati huo huo kuna watu wanaanzisha biashara zinakufa? Kwa nini baadhi ya biashara zimekuwepo kwa muda mrefu na zinazidi kuonekana zikikua zaidi zaidi? Hapa lazima kuna siri. Lazima kuna kitu fulani hapa ambacho wamiliki wa biashara hizi kubwa wanakifahamu.…

 • Hili Ni Kosa Ambalo Wajasiliamali Wengi Hufanya

  Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya SONGA MBELE. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako na unaenda kufanya kazi kwa juhudi kubwa sana. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Siku hii ya leo napenda nikwambie kosa moja ambalo wajasiliamali walio wengi sana hulifanya…

 • Hiki Ni Kiwango Cha Uharaka Kinachopendwa Sana Na Watu

   Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Imani yangu leo ni siku njema sana. Dunia ya sasa hivi imekuwa ni dunia ya kasi sana. Kwa sasa watu wanapenda sana vitu vya kasi kuliko wanavyopenda kitu kingine chochote. Katika dunia ya sasa hivi kasi ni kitu ambacho kinaongelewa kila mahali. Ndio maana utasikia baadhi ya…

 • Vitu Vitano (05) Ambavyo Hupaswi Kuridhika Navyo

  Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala haya katika blogu yako ya SONGA MBELE. Imani yangu leo ni siku njema sana kwako na unaenda kufanya kazi kwa juhudi nguvu na kujituma. Hakikisha mpaka siku hii ya leo inapofikia mwisho haulali na kitu ambacho ulipaswa kuwa umekifanya leo. Kama kuna jambo…

 • Hizi Ni Aina Tano Za Maamuzi Unazoweza Kufanya Mwaka Huu

  Habari ya siku ya leo Rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala haya kutoka SONGA MBELE BLOG. Imani yangu leo ni siku jema sana ambapo uaenda kufanya kazi kwa juhudi nguvu na bidii kubwa sana. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Kwa kawaida kila siku huwa ni mpya. Huwa ni siku njema zaidi ya…

 • Vitu Vitano Ambavyo Vitakuweka Huru Kiuchumi Ndani Ya 2018

  Unaweza kuishi kqa siku ngapi kama mshahara wako utasitishwa leo? Unaweza kwenda hatua ngapi MBELE yako kama biashara yako itaanguka leo?Kitu kimoja na cha muhimu sana ambacho kila mwanadamu anakihitaji hapa duniani ni Uhuru. Wengi sana wamesema kwamba tumezaliwa huru. Sawa na Mimi nakubalina na hilo. Wengine wanasema binadamu wote ni huru na sawa, yaani…

 • Hawa Watu Walipaswa Kuwa Wamefukuzwa Kazi

  Kuna watu ambao kwa matendo ambayo wameyafanya waliapaswa kuwa wamefukuzwa kazi na kukosa mshahara wa kampuni ambayo walikuwa wanaifanyia kazi.  Hii ni kutokana na ukweli kwamba katika dunia hii kuna sehemu ambayo watu wanavumilia makosa hayo na kuna sehemu ambayo watu hawawavumilii makosa hayo. Moja ya sehemu ambayo watu hawavumilii makosa ni katika ajira. Kama…

 • TATIZO SI RASLIMALI ZILIZOPOTEA-21 Tatizo ni kauli zako

  Kila sehemu huwa ina lugha yake ambayo hutumiwa. Nikiwa kidato cha pili mwalimu wangu wa kiswahili alinifundisha kitu kinaitwa rejesta.Rejesta kwa ufupi ni lugha mahalia.Ukiwa hospitalini kuna rejesta yake.Ukiwa sokoni kuna rejesta yake.Ukiwa shuleni kuna rejesta yake. Vivyo hivyo katika biashara kuna rejesta muhimu ya kutumiwa.Rejesta ya biashara ni ya kiupole tofauti na na rejesta…

X