Kama Kuna Kitabu Ambacho Ungependa Kusoma Fanya Hivi


Kama kuna kitabu ambacho unaona kwamba hakijaandikwa basi chukua hatua wewe hapo kukiandika. Kama kuna wimbo ambao ungependa kuusikiliza ila unaona kwamba haujaimbwa uimbe wewe hapo. kama kuna mchoro ambao ungependa kuuona basi uchore wewe, hapo.

Usipoteze muda wako kujadili vitu ambavyo wewe mwenyewe unaweza kusbabisha na kuvileta kwenye uhalisia. Na kama huwezi kuvileta kwenyey uhalisia basi achna navyo.

Huwa naona wachungaji wakiwa wanahubiri wanafika sehemu wanasema, nina imani naongea na mtu hapa. bila shaka na mimi nimefikisha ujumbe kwa mtu hapa.

 

Hahaha, mpaka wakati mwingine. Kwa heri

Subscribe kwenye YouTube Channel Yangu kwa kubonyeza HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X