Usichoke kufanya kazi na Kuweka juhudi kwenye kile unachofanya. Hata kama unakutana na changamoto usiishie njiani, endelea kuweka kazi.
Maana yajayo yanafurahisha.
Godius Rweyongeza
Jiunge nami youtube kwa KUBONYEZA HAPA
Pata vitabu vyangu kwa KUBONYEZA HAPA
Kupata makala maalumu kwa watu maalumu basi BONYEZA HAPA
One response to “USICHOKE KUIFANYIA KAZI NDOTO YAKO”
[…] PILI; ANZA KUIFANYIA KAZI. […]