Add caption |
Ukiingia kwenye chumba chenye watu elfu moja na kuuliza ni wangapi wangependa kuwa mamilionea, ni wazi kuwa unaenda kuona mikono zaidi ya elfu moja ikiwa imenyooshwa juu. Hii ndio kusema kwamba kuna watu wangependa kuwa mamilionea kiasi kamba wananyosha mikono miwili juu. Lakini watu hao ukiwauliza sasa ni wangapi wameshaanza kuchukua hatua za kuufikia huo umilionea. Ustangaa kuona kwamba mikono hiyo imepungua kama sio kutoonekana kabisa. hii kiufupi inaonesha kuwa watu wengi wanapenda kupata matokeo mazuri ila hawataki kuweka kazi pale inapostahili. Maana matokeo mazuri siku yanatangenezwa. Na wewe ukihitaji matokeo mazuri sharti uyaandae na kuyatengeneza. Ukihitaji kesho bora unapaswa kukaa chini na kuitengeneza hii kesho bora. Usemi wa kihenga, unaewka vizuri hili unaposema kwamba ukiona vyaelea, basi ujue wazi kuwa vimeundwa.
Moja ya kitu ambacho wewe unaweza kuunda na kukitengeneza vizuri ni ujuzi wako wa kuandika. Uandishi ni moja kati ya ujuzi muhimu sana ambao unapaswa kuwa nao hasa kwenye zama hizi hapa. ebu fikiria tunavyotumia mitandao ya kijamii na intaneti. Najua kuna nyakati huwa unaandika na kuweka vitu kwenye mitandao hii hapa. pengine huwa unaandika vitu kwa ajili ya kuchekesha watu. pengine huwa unaandika vitu kwa ajili ya kufundisha au kwa ajili tu ya kupata watu waweke maoni yao kwenye kile ulichoweka kwenye mitandao hii. Au kama si hivyo, basi una mpango wa kuanza kufanya hivyo siku si nyingi. Lakini ujue kuna vitu muhimu ambavyo unahitaji kuvijua kabla ya kuwanaandikia watu.
Tuseme kwa mfano unahitaji uwaandikie watu ili wacheke, hautaandika tu ilimradi umeandika. Kuna vitu vya msingi vya kuzingatia wakati unafanya hivyo. La sivyo, utaandika kitu na kucheka wewe, ila wengine hawatacheka. Kwa nini? Kwa sababu wewe ndio unajua ujumbe wa kuchekesha ila sio mtu mwingne.
Sasa karibu, ujipatie kitabu cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU NDANI YA SIKU 30. Kitabu hiki hapa kina kila kitu ambacho unahitaji kujua uandishi.
Ni kitabu kinachokueleza mambo makubwa kwa lugha ambayo inaelewekwa kwako kiasi kwamba hata kama hujawahi kuandika, utaanza tu kuandika bila kuchelewa. fuata hatua zifuatazo chini ili kupata kitabu hiki kwa bei ya ofa. Yaani. Elfu tano badala ya 6,500/-
HATUA YA KWANZA:BONYEZA HAPA,
HATUA YA PILI; NENDA SEHEMU YA BUY NOW, KISHA BONYEZA HAPO NA KUJAZA TAARIFA ZAKO. Hakikisha umechagua mtandao utakaotumia kulipia kitabu hiki hapa
HATUA YA TATU, WEKA NAMBA HII YA COUPON (F23907r) . Hii ni muhimu sana maana ndiyo itakuwezesha wewe kupata kitabu hiki kwa shilingi 5,000 badala ya 6,500/-
HATUA YA NNE: BONYEZA COMPLETE ORDER. Kama unatumia mtandao wa Vodacom utapewa maelekezo ya kukamilisha muamala wako hapo hapo ili upokee kitabu.
HATUA YA TANO; PAKUA APP YA GETVALUE. Kitabu kitakuwa tayari kimeshatumwa kwako tayari. Pakua app hii hapa uweze kuisoma, unaweza kupakua app hii kupitia HAPA
Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA
Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA
Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA
Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391
Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391
Kutengenezewa blogu yako kitalaamu tuwasiliane kwa 0755848391
kila la kheri
One response to “Ondoka Kwenye Wimbi La Watu Elfu Moja Wasiozalsha Matokeo, Jiunge Na Watu Wachache Wanaofanya Vitu Vinavyoeleweka”
[…] Kila mtu anapenda kufanikiwa. Yaani, hapa ufahamu kabisa kuwa ni kila mtu anapenda. Hakuna mtu anapenda kushindwa. Ukiingia kwenye chumba chochote ambacho kina watu, ukiuliza wangapi wanapenda kufanikiwa. Wote watanyosha mikono juu na tena wengine watanyosha mikono …. […]