Hii Hapa Ndiyo Sababu Kuu Inayopaswa Kukusukuma Wewe Kutimiza Ndoto Yako


 

 

https://www.getvalue.co/home/product_details/jinsi__ya_kufikia_ndoto_zako
pata nakala ngumu kwa kuwasiliana na 0755848391

Umewahi kujiuliza ni kwa nini unapaswa kutimiza ndoto za maisha yako? Kwa nini?Kwenye kitabu changu cha Jinsi Ya Kufikia Ndoto Zako (ukurasa wa 36-38) nimeeleza sababu kumi za kwa nini unapaswa kufanyia kazi ndoto zako. Siku ya leo ninaenda kukupa sababu moja ya ziada na hivyo kuzifanya sababu hizo ziwe sababu 11. Na sababu hiyo ni kwamba hakuna mtu mwingine ambaye anaenda kufanyia kazi ndoto zako tofauti na wewe.

Ujue maisha ni wajibu wako, ukishinda ni juu yako. Ukishindwa pia ni juu yako. Hivyo, kuanzia leo amua kwamba unaenda kufanikisha ndoto yako maana hakuna mtu ambaye anakujali kiasi kwamba mtu huyo ataifanyia kazi ndoto yako kuliko wewe mwenyewe.

 

Kazi ya kufanya leo. Andika chini ndoto yako kubwa uliyonayo maishani mwako. Kisha angalia ni hatua gani ambazo unaenda kufanya leo hata kama ni kwa udogo kuhakikisha kwamba unafanikisha ndoto yako kubwa.

 

Kila la kheri.


One response to “Hii Hapa Ndiyo Sababu Kuu Inayopaswa Kukusukuma Wewe Kutimiza Ndoto Yako”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X