KAMA UNATAKA KUFANIKIWA, KUBALI KULIPA GHARAMA


 Wahenga wanasema kuwa mtaka cha uvunguni sharti ainame. Hii ndiyo kusema kuwa kama wewe unataka kupata kitu chochote kizuri, Ni sharti uwe tayari kulipa gharama ili kupata kitu hicho. Vitu vizuri vinahitaji uvigharamikie kuvipata. Ukiwekwepa kutoa gharama inayopelekea kupata vitu vizuri, utaishia kupata vitu feki. Sasa kwa kwa nini usilipe gharama? 

Je, gharama zenyewe unazopaswa kulipa unazijua? Hapa chini zipo gharama sita unazotakiwa kulipa👇👇

BONYEZA HAPA KUZIANGALIA

Au hapa


One response to “KAMA UNATAKA KUFANIKIWA, KUBALI KULIPA GHARAMA”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X