Rafiki yangu habari ya siku ya leo. Hongera sana kwa nafasi ya siku hii ya kipekee sana. siku ya leo nina ujumbe muhimu kwako wewe msomaji mzuri wa vitabu. na ujumbe huu ni kwamba kama unafikiri kwamba unaweza kujifunza zaidi kupitia usomaji wa vitabu, basi unapaswa kuandika kitabu chako pia. Kama wewe umekuwa ni msomaji mzuri wa vitabu na unaona vitabu vinakunufaisha, kwa nini na wewe usiandike kimoja kitakachokuja kuwanufaisha na wengine pia. Hivyo basi, ombi langu kwako siku ya leo, ni kukaa chini na kuangalia jinsi utakavyoweka mipango yako sawa, ili na wewe uweze kuandika kitabu chako. Najua utakuwa unajiuliza hivi mimi naweza kuandika kitabu kinachohusu nini maishani mwangu. Mbona sielewi cha kuandika, naanzaje kwa mfano kuandika kitabu?
KOZI YA KUANDIKA VITABU HII HAPA
Ninachotaka kukwambia ni kwamba una mambo mengi ya kuandika kuliko unavyofikiri. Kama umesoma kitabu cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEBVU NDANI YA SIKU 30, bila shaka utakubaliana nami kuwa tayari umeshaona wapi pa kuanzia na hivyo linapokuja suala zima la kuandika kitabu, huna kisingizio cha kwa nini huwezi kuandika. Kwenye hicho kitabu nimeeleza kwa kina maeneo mbalimbali unayoweza kuandikia kitabu. Ikiwa ni pamoja na
Historia yako
Ujuzi wako
Vitu unavyopenda kufuatilia mara kwa mara
Na mengine mengi. Itakuwa vizuri ukijipatia nakala ya kitabu hiki cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU NDANI YA SIKU 30. Tuwasiliane kwa 0755848391.
Kumbuka, kama wewe umekuwa ni msomaji mzuri wa vitabu na unaona vitabu vinakunufaisha, basi kaa chini na wewe uandike kitabu chako.
SOMA ZAIDI:
Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza
Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA
Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA
Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA
Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391
Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391
Kujifunza namna ya kutengeneza fedha kupitia blogu tuwasiliane kwa 0755848391
Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391
kila la kheri
One response to “Ujumbe Muhimu Kwa Wasomaji Wote Wa Vitabu”
[…] SOMA ZAIDI: Ujumbe Muhimu Kwa Wasomaji Wote Wa Vitabu […]