Jinsi Vitu Vidogo Vinavyoweza Kukupa Vikubwa (Mfano Kutoka KWENYE Biblia) Sehemu ya kwanza


 

Hapa tunaenda kuona mifano ya nguvu ya vitu vidogo katika kufanya mambo makubwa kutoka kwenye Biblia. Kwenye Biblia kuna mifano mingi ya watu ambao walitumia vitu vidogo katika kufanya makubwana kwa kuanzia kabisa ni Mungu mwenyewe.

Katika uumbaji tunaona Mungu anatumia kitu kidogo na kisichokuwana tahamani; ila yeye anakipa thamani kubwa sana. anatumia mavumbi kuumba mtu ambaye ni mwenye thamani kubwa. Hii inatuonesha kuwa wakati wote tunapaswa kutumia jicho la pili na kuona thamani katika vitu ambavyo havina thamani.

 

Hii inanikumbusha juu ya mtu ambaye alikuwa na kipande kikubwa cha shamba ambacho kwa watu wengi kilionekana ni kipande amnbacho hakikuwa na msaada wowote. Ile yule jamaa alipokiangalia kile kipande aliona kuna kitu cha kipekee ambacho anaweza kufanya kwa kutumia kile kipande cha ardhi. Hivyo, alichofanya alianza kuweka wanyama pori na kufanya eneo lile kuwa la maonesho la wanyama mwitu. Aliweka nyoka na aina nyinginezo za wanyama na watu wengi wakawa wanakuja kuliangalie hilo eneo kila mara kwa gharama kubwa. Loo, kumbe kitu ambacho hapo awali kilikuwa kinaonekana kama hakifai huyu jamaa alikifanya kiwe chenye manufaaa makubwa na kumwingizia kipato kikubwa sana.

 

Sasa siku ya leo ninataka na wewe ufanye zoezi ambalo hujawahi kufanya kwenye maisha yako. Ebu angalia ni kitu gani ambacho wewe unakiona kwamba hiki kiukweli hakina thamani yoyote. Sasa kazi yako ni wewe kukigeuza hiki kitu ambacho unaona kwamba hakina thamani ili kiweze kuwa chenye thamani.


Itaendelea…


Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391

Kujifunza namna ya kutengeneza fedha kupitia blogu tuwasiliane kwa 0755848391

Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391


One response to “Jinsi Vitu Vidogo Vinavyoweza Kukupa Vikubwa (Mfano Kutoka KWENYE Biblia) Sehemu ya kwanza”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X