Kama Unataka Kubadili Dunia Fanya Haya Hapa


Unaendeleaje rafiki yangu

Nimekutana na watu wengi wanaopenda kubadili dunia. Hata hivyo, cha kushangaza wamekuwa hawachukui hatua.

siku leo, nimeona siyo vibaya, ngoja nikuandalie kitu kuhusu mabadiliko, kama unataka kubadili dunia fuatilia haya mafunzo.

1. Kama unataka kubadili dunia, tandika kitanda chako vizuri.(KITABU)

Huu ni uchambuzi wa kitabu cha Make Your Bed kilichoandikwa na William H. McRaven

Huyu alikuwa mwanajeshi wa jeshi la majini la Marekani. Siku moja alialikwa  kwenye chuo kutoa hotuba siku ya mahafali.

Pale chuoni akawa ametoa hotuba inayojulikana kama “tandika kitanda chako”. kama unataka kubadili dunia, fanya haya mambo..

Kwenye hiyo hotuba alieleza Mambo 10 . Baadaye hiyo hotuba yake tu ilikuwa maarufu kiasi kwamba akaamua kuandika kitabu.

Kwenye chambuzi huu utakutana na haya mambo 10 yakiwa yameelezwa
BONYEZA HAPA kuiona.

uchambuzi wa kitabu Cha make your bed

2. Kama unataka kubadili dunia ifahamu NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA (kitabu)

Hiki ni kitabu ambacho nipo nashughulika nacho nyuma ya pazia kwa sasa. Ila tayari nimeandika makala kadha wa kadha kwenye blogu hii
Ebu zisome hapa

  1. NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA
  2. Jinsi Vitu Vidogo Vinavyoweza Kukupa Vikubwa (Mfano Kutoka KWENYE Biblia) Sehemu ya kwanza
  3. Vitu Nane (08) Vidogo Ambavyo Unaweza Kuanza Kufanya Leo, Vikaongeza Thamani Yako Na Ya Watu Wengine

Leo niliona nukupe mwongozo wa kukusaidia kufanya makubwa na hata kubadili dunia.

Kupata vitabu Vyangu BONYEZA HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X