Kama kitu huwezi kukifanya kwa viwango vya juu basi kifanye kwa viwango vya chini. Kama huwezi kuajiri watu wengi basi ajiri watu wachache.
Kama huwezi kuwa na vyanzo vingi vya kipato vinavyoingiza kipato kikubwa, basi kuwa na vyanzo zaidi vinavyoingiza hata kipato kidogo.
Kama huwezi kukimbia kilomita nne kwa siku, kimbia mita mia tano.
Kama huna mtaji wa kutosha wa kufanya biashara, Anza kidogo au bila mtaji kabisa.
Kama unaambiwa kipaji hakilipi bongo, tafuta namna ya kukifanya kikulipe. Ila kwa vyovyote vile usikubali kutokufanya kitu kabisa.
Umekuwa nami,
GODIUS RWEYONGEZA
Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA
Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA
Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA
Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391
kila la kheri
One response to “KAMA HUWEZI KUKIFANYA KWA VIWANGO VIKUBWA, KIFANYE HATA KWA VIWANGO VIDOGO”
[…] KAMA HUWEZI KUKIFANYA KWA VIWANGO VIKUBWA, KIFANYE HATA KWA VIWANGO VIDOGO […]