UNAPASWA KUACHANA NACHO


Kuna wakati unapaswa kuachana na vitu hata kama watu wanasema ni fursa nzuri.
Au hata kama kilikuwa ni kitu unapenda kufanya kwa siku nyingi.

Unaachana nacho kwa sababu hakiendani na misingi ya maisha yako.

Unaachana nacho maana ukikifanya kitakurudisha nyuma.

Unaachana nacho kwa sababu sasa hivi kuna mengine ya muhimu unashughulika nayo, huwezi kuchanganya mambo mengi kwa wakati mmoja.

Unaachana nacho kwa sababu wanakiuza au kinapatikana kwa fedha nyingi kuliko uhalisia wake.

Umekuwa nami,

GODIUS RWEYONGEZA

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

kila la kheri


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X