Category: UBUNIFU

 • Sifa Moja Kuu Ya Watu Wanaofanya Vitu Visivyo Vya Kawaida

  Wanaofanya vitu visivyo vya kawaida siyo kwamba wao wameshuka kutoka mbinguni au wana upekee ambao wewe huna. Ni watu tu kama wewe ambao wamejitoa kufa na kupona kuhakikisha kwamba wanafika mbali. Na huo ndio mwanzo wao wa kufanya vitu visivyo vya kawaida Godius Rweyongeza

 • Hizi Hapa Ni Sababu Za Kwa Nini Unapaswa Kufanyia Wazo Lako Mwaka Huu Na Sio Kusubiri

  Natumai kwamba unaendelea vyema. Ni takribani wiki nzima sasa nimekuwa nikiandika makala kuhusu wazo la biashara. Kila siku tumekuwa tunapata makala moja iliyojishosheleza na yenye ujumbe uliokamilika. Sasa leo nimerudi tena kwa lengo la kukueleza kwa nini unapaswa kufanyia wazo lako la biashara mwaka huu na sio mwaka mwingine. Najua kwamba ninachoenda kuandika hapa ni…

 • UNAPASWA KUACHANA NACHO

  UNAPASWA KUACHANA NACHO

  Kuna wakati unapaswa kuachana na vitu hata kama watu wanasema ni fursa nzuri.Au hata kama kilikuwa ni kitu unapenda kufanya kwa siku nyingi.

 • UBUNIFU UNABORESHA BIASHARA YAKO

  UBUNIFU UNABORESHA BIASHARA YAKO Kama wewe umekuwa mtumiaji wa muda mrefu kidogo wa mtandao wa WhatsApp utagundua kuwa mtandao huu umekuwa unafanyiwa marekebisho ya hapa na pale kila mara.Kuna kipindi haya mambo ya status au WhatsApp business hayakuwepo. Nakumbuka suala zima la kubold, italicize, underline na strikethrough na yenyewe hayakuwepo. Ila kadiri siku zilivyoendelea yamewekwa.…

X