Ukiwa na ndoto kubwa unapaswa kuwa tayari kulipa gharama. Ni vigumu kufikia ndoto kubwa bila ya kulipia gharama ndoto zako.
Na linapoongelewa suala zima la gharama basi watu wengi wanadhani gharama ni pesa peke yake.
Hapana. Hizi hapa ni gharama sita unazopaswa kulipa ili kufikia ndoto zako