Inawezekana Kuvunja Rekodi


Kabla ya mwaka 1954 watu waliamini kuwa mtu hawezi kukimbia maili moja (1500m) chini ya dakika. Waliamini mtu akifanye hivyo anaweza kufa.

Hata hivyo, mwaka 1954 Roger Bannister alivunja rekodi kwa kukimbia mita 1500 kwa dakika 3:59:4.Kwa Mara ya kwanza kitu kilichotokea kinaonekana hakiwezekani, kiliwezekana.

Kutokea hapo maelfu kwa maelfu wamevunja rekodi hiyo.Hali kama hii pia itajitokeza kwenye ndoto na malengo yako. Kuna watu wanaweza kukwambia ndoto yako hakiwezekani kabisa. au haijawahi kufanyika. Au hauna rasilimali za kukufanya wewe utimize ntoto yako. Hii siyo kwamba ndiyo ikuzuie wewe kufikia ndoto yako.

Hapana, bado kuna upenyo unaweza kuufanya na ukakusaidia kufanikisha lengo lako au ndoto yako kubwa.Kupata nakala ngumu ya kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO. Wasiliana nasi kwa 0755848391

GODIUS RWEYONGEZA

MOROGORO-TZ

0755848391


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X